Waziri Mhagama: Zaidi ya watu milioni 1.5 Tanzania wanatumia ARVs

Kumbe wako million 1.5 tu nilifikiri wanafika hata million 19
 
Hii sio takwimu halisi, takwimu inaminywa ili kutoleta taharuki.
Huwezi kumlaumu waziri, lakini hali ni mbaya sio kidogo.
 
Ndiyo hiyo, mkuu hapo juu amepiga hesabu, ni asilimia 2.5

Watu asilimia 2 ni wachache.

Kupata HIV inatokea kwa bahati mbaya sana.

Umkute yule ameathirika kabisa ameliwa fangasi ana vidonda, na wewe uwe na kaupele juu ya uume kachubuke.
Jidaanganyee!!
 
Duh nilikuwa na underated huu ugonjwa kumbe mtaani watu wanaumwa
Mkuu asilimia Bado Iko chini ila kujikinga ni muhimu Kwa harakaharaka ni kama ni kama 0.97% wana ngoma waliothibitika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…