Kibaya zaidi wakiacha kuingia darasani wanafukuzwa kazi na hao wakurugenzi …hivi kweli mwalimu gani atapenda watoto wafaulu?Hata kama mnadharau walimu ifike mahala waheshimike jamani.Upokonye walimu madawati ya kukalia kweli?Kosa ni Lao au la serikali?Kwa hiyo mitihani ya wanafunzi wanasahisha wakiwa wamekaa sakafuni au juu ya vitabu? Watu wanawafundishia watoto badala muwathamini mnawadharau,na wakiacha kuingia darasani?HII NI DHARAU KUBWA MNO KWA WALIMU NA WALIOFANYA HIVYO WACHUKULIWE HATUA
Walimu wanadharauliwa sana sana na wao wanakubali kabisa…..Mi sipendagi dharau kiukweli huwezi nifanyia huo upuuzi tena mtendaji sijui mwenyekiti wa kijiji Alooooooohh
Kitendo cha kukubali huo upuuzi Elimu haijawasaidia hao walimu kiukweli!
Afu sasahivi Kuna changamoto sana ya madawati mashuleni
Hii Elimu bure kuna sehemu imekwama
Hao ni wajinga wajinga lakini hawa walimu hawana kosa la kuwafanya waadhibiwe kwa fedheha kabisa ….Kama waliweza kumnunulia fomu ya uchaguzi mama inakuwaje washindwe kujinunulia viti vyao, usiwatetee hao, pia wapigwe marufuku kukalia vitabu kwani kutabu hakisomwi kwa makalio kinasomwa kwa macho.
Mimi nawashangaa sana hata hap walimu walipata hata ujasiri wa kuendelea kusahihisha madaftari eti wamekaa juu ya madaftari………. Yani kama ningelikuwa wao nisingeyagusa kabisa hayo madaftari kisa hao so called takataka wa mtaaa….huu ni udhalilishaji wa kiwango chajuu hati wakae kwenye sakafu…Hivi kumbe mtendaji wa Mtaa ni Boss wa Mwalimu, yaani kweli unamaliza ujana wako kusomea BAed kuja kuendeshwa na takataka za certificate zinazosubiri rushwa na hela za wauza viwanja ili ziishi.... ningemchapa kofi huyo mtendaji na kazi yake naacha apo
Hao walimu nao wameni dissapoint sana kwa woga wa kufukuzwa kazi hii ni aibu…..Nchi hii ina watu wenye upeo mdogo wanapitwa hata na panya.
Inapoitwa shule masna yake;
Ina madarasa yenye madawati
Ina ofisi ya walimu yenye samani zake.
Kuna kenge maji zinagirojoka humu tu.
Sema waalimu hao pichani nao maandazi, mimi huninyang'anyi kiti eti niingie ofisini au darasani kufundisha
Aisee ni fedheha sana wanafanyiwa..,Duh kuna walimu vilaza,ila mimi sio kilaza,kiti changu kingekuwa cha mwisho kupelekwa kwa wanafunzi baada ya kumung'oa jino mwenyeketi wa bodi/kamati yashule na mtendaji kurudi kwake akiwa na bandeji usoni.
Walimu tujitambue,tuache kuwa wanyonge.
Daah, Ni hatariSawa wamenyang'anywa madawati lakini utaratibu ni uleule, Million 10 kila goli, Stars angeshinda jana Billion 1.3.
Alisikika Lumumba buku saba akiongea kwa hisia.
Saa nyingine kukaa kimya ni busara. Hao waalimu wana hekima mno na upendo kwa wanafunzi. Wakiamua kuzira ni majanga kwa hao wanafunzi. Siku nyingine tumia akili ku-comment
Swali rahisi kwako.Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Ukiwa mtu wa kujipendekeza kwa viongozi utaishia kudharauliwa na hao unaojipendekeza kwao.Hao ni wajinga wajinga lakini hawa walimu hawana kosa la kuwafanya waadhibiwe kwa fedheha kabisa ….
Jiulize wewe, walipata wapi pesa za kununulia madawati waliyokuwa wakiyatumia wakanyang'anywa?Swali rahisi kwako.
Walimu wangepata wapi pesa za kuwsnunulia wanafunzi madawati?
Ndio maana FaizaFoxy unatukanwa Mara kwa Mara.
Hao,wametaka waonekane.Mimi nawashangaa sana hata hap walimu walipata hata ujasiri wa kuendelea kusahihisha madaftari eti wamekaa juu ya madaftari………. Yani kama ningelikuwa wao nisingeyagusa kabisa hayo madaftari kisa hao so called takataka wa mtaaa….huu ni udhalilishaji wa kiwango chajuu hati wakae kwenye sakafu…
Hao taka taka kwenye ofisi zao za mitaa wana furniture nzuri tuu na kunafungu kabisa….aiseee kwakweli jua ni kali kweli kweli kwa Walimu…