Michango inapozidi ada iliyofutwa, mzazi unalipa zaidi ya laki na 20 kwa mwaka. Halafu unahubiriwa elimu bureKuhusu michango ipo pale pale tena unakuta michango ni mingi, kwakweli wajaribu kuangalia ili swala na pia mzazi apewe muda wa kulipa taratibu kama michango itashindwa kuondolewa au kupunguzwa.
Shule gani michango ni 500 au 1000?? michango ni mingi inaweza fika adi laki moja na zaidi kwa mtu anaeingia kidato cha tano sasa usifikiri vipato vinafanana, na hoja ya msingi basi mwanafunzi asirudishwe atleast apewe muda wa kulipaWaTz mtabak kuwa vilaza hapo utakuta mchango hauzidi 500 au 1,000 lakin mmeshika bango kulalamika. Wakat mnatumia pesa nyingi kwa ulevi uzinzi na starehe. WaTz mtaendelea kubak wajinga hadi siku mkojolewe hadharani. Ndio maana wazungu wakasema "if you think education is expensive try ignorance".
Ladies and Gentlemen mwisho wa siku mtaendelea kusema shule za private wanaiba mitihani ndio maana wanafaulu...
Hivi seriously unataka mwanao anaye soma elimu bure bilakutoa hata mia mbovu afaulu sawa na mtoto wa jirani yako anayesoma shule yenye mchango wa mitihani ya wiki au mwezi au masomo ya ziada..?
Ok sawa watoto wenu wa elimu bure wakifaulu na kwenda shule ambazo watoto wa wenzenu wanao gharamia elimu, Nipo nimekaa hapa mniite mbwa...
sasa unataka hadi mwanafunz anaeingia A-Level asitoe michango.?Shule gani michango ni 500 au 1000??michango ni mingi inaweza fka adi laki moja na zaidi kwa mtu anaeingia kidato cha tano sasa usifikir vipato vinafanana,na hoja ya msingi basi mwanafunzi asirudishwe atleast apewe muda wa kulipa
Ukweli ni kwamba elimu ni gharama, wanaotwambia tusilipe michango wala ada, ili watoto wetu wainjoi elimu, wao wanalipa mamilioni kwa ajili ya watoto wao, mf.Mwigulu, watoto wake wapo Feza huko analipia mamilioni, lakini utamkuta mishipa imemtoka akiihubiri elimu bure!Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni.
Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa pesa ya tuition jion. Kwanini wasiwarudishe jioni kwenye darasa husika? Je, michango imeshakuwa lazima kinyumenyume?
Najua wanabodi wengine watanitukana nikalipe, mimi watoto wangu hawasomi hapo ila nimeumia kuona watoto wa wengine wakifanyiwa haya.
Hana mtoto huyo, michango shule ya msingi inafika 120,000 anazungumza nnShule gani michango ni 500 au 1000??michango ni mingi inaweza fka adi laki moja na zaidi kwa mtu anaeingia kidato cha tano sasa usifikir vipato vinafanana,na hoja ya msingi basi mwanafunzi asirudishwe atleast apewe muda wa kulipa
basi waache kuhubiri elimu bure, pia malalamiko yangu ni watoto kurudishwa muda wa masomo kwanini wasizuiwe kuingia huo muda wa tuition?Ukweli ni kwamba elimu ni gharama, wanaotwambia tusilipe michango wala ada, ili watoto wetu wainjoi elimu, wao wanalipa mamilioni kwa ajili ya watoto wao, mf.Mwigulu, watoto wake wapo Feza huko analipia mamilioni, lakini utamkuta mishipa imemtoka akiihubiri elimu bure!
Nilienda shule moja huko mkoani Songwe,wilaya ya Mbozi, inaitwa Mlangali secondary school (anasoma mtoto wa shangazi yangu),waliagizwa kupeleka Ream papers kwa ajili ya mitihani, shangazi alilalamika kwanini wtnatozwa mchango wa Ream wakati serikali imesema wasitoe mchango!
Nilipofika shule kupeleka hiyo Ream nikapata wasaa wa kuongea na makamu Mkuu wa shule, kwamba shule ina mikakati ya kuwafanyisha mitihani ya kutosha wanafunzi wao ili kuwaandaa na mitihani ya taifa, na ili hilo lifanikiwe, waliwaomba wazazi kupeleka ream shule kwa sababu shule haina pesa...na pia wazazi wakaombwa kuchangia sh.1000 kila J.mosi ili kutoa copy hiyo mitihani, kulipa pesa ya maji kwa walimu kujitolea kufanya kazi J.mosi (kwani wangeweza kukaa nyumbani wapumzike) lakini wazazi HAWATAKI, kwa kuwa waliambiwa elimu ni BURE!
Niliiona nia njema ya walimu wa hiyo shule ya sekondari Mlangali, lakini jamii inayowazunguka inajijengea uzio mzito kuelekea mafanikio ya watoto wao kielimu, sasa hata kama hali ni ngumu, kweli kutoa sh. 1000 kwa wiki kumsaidia mtoto wako kielimu unaona shida????
Halafu ukiambiwa wachagga wamejazana maofisini mnakimbilia kusema ni ukabila? Mleta mada, nafikiri kabla hatujawalaumu walimu, tuanze na wazazi kwanza, kwanini hawatoi michango midogo midogo hiyo kusaidia elimu za watoto wao?
Sisi tulisoma private na bado unakutana na mchango wa "kuboresha elimu laki tatu (300,000) inalipwa, Mara pesa ya jengo 200,000, inalipwa na hizo zote zinakuwa nje ya ADA!
WATANZANIA TUKIENDELEA KUPUUZA ELIMU, NA KUIONA NI KITU CHEPESI NAMNA HII HAKIKA TUTAENDELEA KUKANDAMIZWA KWA MIAKA MINGI SANA IJAYO!
Vita subiria serikali inafanyia Kazi 👇Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni.
Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa pesa ya tuition jion. Kwanini wasiwarudishe jioni kwenye darasa husika? Je, michango imeshakuwa lazima kinyumenyume?
Najua wanabodi wengine watanitukana nikalipe, mimi watoto wangu hawasomi hapo ila nimeumia kuona watoto wa wengine wakifanyiwa haya.
______
Mods pls, Heading isomeke Prof. Mkenda, Ndalichako bado kumbukumbu zake hazijafutika kichwani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo buku unatosema mkuu Kuna wengine hawaipati Kwa wakati watoto wetu wanaosoma wapo hata wazaz Simu hawana! Hata uniform zinawashinda mtoto anatembea bila hata viatu! Kaongelea Kwa wote. Wakati mwingine usiwe unapingapinga huenda hujasoma shule hizo ukajuwa tunawazazi wa Aina gani nchi yetu siyo masikini Bali ccm na serikali yake tangu tumepata uhuru imefanya jamii nyingi za kitanzania kuwa masikini wakutupwa. Kwani wanufaika wakubwa no wale waliopo kwenye mfumo.WaTz mtabak kuwa vilaza hapo utakuta mchango hauzidi 500 au 1,000 lakin mmeshika bango kulalamika. Wakat mnatumia pesa nyingi kwa ulevi uzinzi na starehe. WaTz mtaendelea kubak wajinga hadi siku mkojolewe hadharani. Ndio maana wazungu wakasema "if you think education is expensive try ignorance".
Ladies and Gentlemen mwisho wa siku mtaendelea kusema shule za private wanaiba mitihani ndio maana wanafaulu...
Hivi seriously unataka mwanao anaye soma elimu bure bilakutoa hata mia mbovu afaulu sawa na mtoto wa jirani yako anayesoma shule yenye mchango wa mitihani ya wiki au mwezi au masomo ya ziada..?
Ok sawa watoto wenu wa elimu bure wakifaulu na kwenda shule ambazo watoto wa wenzenu wanao gharamia elimu, Nipo nimekaa hapa mniite mbwa...
Hata ngekua 10,000 kwa umhimu wa elimu kwa mtoto wako kabisa hamna haja ya kulalamika unless wewe naturally dullShule gani michango ni 500 au 1000??michango ni mingi inaweza fka adi laki moja na zaidi kwa mtu anaeingia kidato cha tano sasa usifikir vipato vinafanana,na hoja ya msingi basi mwanafunzi asirudishwe atleast apewe muda wa kulipa
Vilaza watanzania including na mama yako ujueWaTz mtabak kuwa vilaza hapo utakuta mchango hauzidi 500 au 1,000 lakin mmeshika bango kulalamika. Wakat mnatumia pesa nyingi kwa ulevi uzinzi na starehe. WaTz mtaendelea kubak wajinga hadi siku mkojolewe hadharani. Ndio maana wazungu wakasema "if you think education is expensive try ignorance".
Ladies and Gentlemen mwisho wa siku mtaendelea kusema shule za private wanaiba mitihani ndio maana wanafaulu...
Hivi seriously unataka mwanao anaye soma elimu bure bilakutoa hata mia mbovu afaulu sawa na mtoto wa jirani yako anayesoma shule yenye mchango wa mitihani ya wiki au mwezi au masomo ya ziada..?
Ok sawa watoto wenu wa elimu bure wakifaulu na kwenda shule ambazo watoto wa wenzenu wanao gharamia elimu, Nipo nimekaa hapa mniite mbwa...
Usisahau watu wanataka kura zetu, ili waendelee kubaki madarakanibasi waache kuhubiri elimu bure, pia malalamiko yangu ni watoto kurudishwa muda wa masomo kwanini wasizuiwe kuingia huo muda wa tuition?
Wewe huna akili kaa kimya, ndio maana kaka yako alikufira kwa aibu ukahama mji. Unatabia za kupenda ushoga tangu shule... Huko ugenini hujaacha ushogaVilaza watanzania including na mama yako ujue
Nimesoma shule za kata kwahio naelewa ujinga wa wazaz wengi wanao somesha watoto wao shule za kata... Ni hivi kwanza utambue walimu wanajua watoto wanaotoka ktk familia masikini hawa watoto huwa hawasumbuliwi kuhusu hiyo michango ya miambili au miatano au buku... Kuna wazaz Wana uwezo wa kutoa hata 100,000 lakini hatak kutoa 500 kwasabab serikal imesema Elimu Bure...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo buku unatosema mkuu Kuna wengine hawaipati Kwa wakati watoto wetu wanaosoma wapo hata wazaz Simu hawana! Hata uniform zinawashinda mtoto anatembea bila hata viatu! Kaongelea Kwa wote. Wakati mwingine usiwe unapingapinga huenda hujasoma shule hizo ukajuwa tunawazazi wa Aina gani nchi yetu siyo masikini Bali ccm na serikali yake tangu tumepata uhuru imefanya jamii nyingi za kitanzania kuwa masikini wakutupwa. Kwani wanufaika wakubwa no wale waliopo kwenye mfumo.