Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwani ulitaka michango iwe kiasi gani ili ionekane ni Elimu Bure kweli?Michango inapozidi ada iliyofutwa, mzazi unalipa zaidi ya laki na 20 kwa mwaka. Halafu unahubiriwa elimu bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulitaka michango iwe kiasi gani ili ionekane ni Elimu Bure kweli?Michango inapozidi ada iliyofutwa, mzazi unalipa zaidi ya laki na 20 kwa mwaka. Halafu unahubiriwa elimu bure
Hakika inastaajabishaWaTz mtabaki kuwa vilaza hapo utakuta mchango hauzidi 500 au 1,000 lakini mmeshika bango kulalamika. Wakati mnatumia pesa nyingi kwa ulevi uzinzi na starehe. WaTz mtaendelea kubaki wajinga hadi siku mkojolewe hadharani. Ndio maana wazungu wakasema "if you think education is expensive try ignorance".
Ladies and Gentlemen mwisho wa siku mtaendelea kusema shule za private wanaiba mitihani ndio maana wanafaulu...
Hivi seriously unataka mwanao anayesoma elimu bure bila kutoa hata mia mbovu afaulu sawa na mtoto wa jirani yako anayesoma shule yenye mchango wa mitihani ya wiki au mwezi au masomo ya ziada..?
Ok sawa watoto wenu wa elimu bure wakifaulu na kwenda shule ambazo watoto wa wenzenu wanao gharamia elimu, Nipo nimekaa hapa mniite mbwa...
Uneongea ukweli mtupu kijanaNimesoma shule za kata kwahio naelewa ujinga wa wazaz wengi wanao somesha watoto wao shule za kata... Ni hivi kwanza utambue walimu wanajua watoto wanaotoka ktk familia masikini hawa watoto huwa hawasumbuliwi kuhusu hiyo michango ya miambili au miatano au buku... Kuna wazaz Wana uwezo wa kutoa hata 100,000 lakini hatak kutoa 500 kwasabab serikal imesema Elimu Bure...
Unakuta shule nyingi zinapata ruzuku ya serikal kwa mwezi 100,000 na ina wanafunz zaidi ya 500 unategemea shule itawezaje kuendesha shughuri za taaluma bila kuomba msaada wa kifedha kwa wazaz..?
Watanzania tusipende kuendekeza Umasikini kama kisingizio cha kukwepa majukum ya msingi... Yaaan uweze kutia mtu mimba ulee mimba ukiombwa 500 kwa mwezi mtoto wako asaidie kitaaluma unakataa unasingizia Elimu Bure...
WANASIASA WANATUMIA ELIMU BURE KUWAPUMBAZA WATZ. CHAGUO NI LENU KUPUMBAZWA AU KUAMKA