Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

Mkuu hebu twende taratibu. Mwanzoni umesema waziri arekebishe mitaala na tuwe na lugha moja ya kufundishia . Nataka tukikite hapo halafu ndipo tuangazie changamoto niyingine.

Mitaala ya sasa Ina mapungufu yapi? Na waliosoma English medium toka chekechea mpk vyuo vikuu wameyaepuka mapungufu yanayosababishwa na kuchanganya lugha? Wameelimika vizuri kuliko waliopita st. Kayumba? Wana tija kwenye jamii kuliko wa st. Kayumba?
 
Mitaala yetu imeandaliwa kuzalisha degree au kwa lugha nyepesi kuzalisha vyeti vya ufaulu.{ Kukrem zaidi}
 
 

Attachments

  • IMG_4485.MP4
    4.9 MB
Ni kweli tumeshuhudia watu kibao wamegraduate lakini uelewa wao wa mambo uko chini kuliko mtoto wa form iv aliyesoma shule za magari ya njano .Mpaka unajiuliza huko vyuoni wanaenda kusomea ujinga
We ndio mbumbumbu kabisa, watoto wa magari ya njano wana uelewa wa nini? Kiingereza? Hujui hata maana ya kugraduate, acheni ushabiki wa kijinga au unatangaza biashara ya hizo shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…