Nilichokuja kumgundua Ni kwamba hutawasikia wazungu kwenye media zao wakipromote au kuforce African countries kuadopt hiyo kitu inaitwa ushoga isipokua indirectly!
Kinachofanyika Sasa hivi sisi watanzania na waafrica kwa ujumla tumekua vinara wa kuzungumza au kupromote ushoga kwenye social media bila kujua sisi ndio tunausambaza