Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Hahaaaa kwani ni km 200 au mt 200...?? Mt 200 nahisi ni viwanja viwili vya football tuu sasa jamani hiyo mbona kawaida.?? Mbona mzee ruksa anakwenda km kadhaa?? E l je. Hebu mlete huyo mwandishi hapa tumpe mboko
 
Kipindi tutasikia na kuona Mengi ivi hawa viongozi wana degree za maigizo eeh
 
Mira 200 ukipanda taxi ni buku 5. Mamillioni yapi yaliokuwa yanaongelewa hapo?????????[emoji1241][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
 
Asante kwa taarifa. Kesho usichoke kituletea taarifa kuwa mh. amebadilisha menu, sasa anashindia uji ili kusave budget.
 
Mshana umekuwa mtu wa kukosoa tu hata yasio na maana sasa shida iko wapi Waziri mkuu kutembea na Kusalimiana na Jamii inayomzunguka, Yule ni Icon na public figure ana waandishi wa habari wanaomfata popote alipo sioni haja ya kutoka povu hivo mkuu
Mbona husomi kwa utulivu mkuu?
Mita 200 ni sawa na kuunganisha viwanja vya mpira wa miguu viwili (urefu wake)
Hivi mita 200 unabana matumizi gani?
Ina maana msafara wa waziri mkuu kwa mita 200 hutumia milioni ngapi hadi wapo redio waione hiyo ni breaking news?
Mbona watu tunatembea kilometa kadhaa na hatupongezwi kwa kubana matumizi?
Viongozi wa nchi hii wameamua kuiongoza nchi kwa matukio.
 
Heee watz tuna matatizo jmn. Kweli hiyi ni kitu ya kuandika? Sasa asitembee kwa nini? Mita 200? Huyo aliyeandika yeye hutembea km ngapi kabla ya kufika kituocha kazi? Tuache ushabiki usio na tija tufanye kazi. Naogopa cyber ningetoa kitu lkn basi tu Mungu nisamehe!!
 
Umeiona wapi hiyo mkuu. Naona umeianzisha wewe na kujikisoa wewe.
Leo saa 07:20 asubuhi tune 98.1 nina hakika watairudia...! Siku nyingine soma uelewe kwanza kabla hujakimbilia kuchangia
 
[emoji12] kwani uongo, we january si ndo unaanza form one
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji124] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Ni sawa na magazeti yaliyokuwa yanashadadia kulazwa kwa mke wa magufulu pale muimbili kuwa alikuwa anabana matumizi wakati kipindi kalazwa apo muimbili ilipata mafuliko ya wanausalama wa taifa wanaolipwa kwa kodi zetu.
 
Nina hakika tangu umeamka hadi sasa hivi haujatembea huo mbali wa mita 200. Tuache kulalamika lalamika kama wanawake.
Mita 200 si viwanja vya mpira viwili tu?!
Sijaelewa hizo nita 200 ni kutoka wapi hadi wapi. Nijuavyo mimi kwa pale Dodoma Mh Waziri Mkuu anaishi pale Mlimwa Hill jirani na Area D. Pia ziliko ofisi za Mh Waziri Mkuu ni Uzunguni. Sasa kadri ya umbali ninaoujua mimi, kutoka Mlimwa Hill hadi Uzunguni/Kilimani,haipungui Kilometa nne.
 
Nitawaona wa maana sana wakitangaza kubana matumizi kwa kuuza magari mabayo ni anasa hasa hayo mav8 yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…