Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Tatizo gani..? Tuache kudanganywa!
Ni kiasi gani exactly kimeokolewa, vipi siku zote anatembea?
Si umeambiwa mamilioni yameokolewa, na hili la vipi siku zote anatembea labda mi naona hili ndio swali la ajabu lililomfanya mwandishi kutangaza habari hii yawezekana Waziri mkuu yeye kama mtu maarufu tokea aende Dodoma hakuwahi kushuhudiwa akitembea kwa Miguu kwa umbali huo.
 
Halafu sikujua kama bado anakaa ikulu , wakati alishakabidhiwa nyumba yake pale mlimani
 
Hiyo ni habari unafikiri huu uzi wako umetokana na nn kama sio hyo habari ya waziri mkuu kutembea mita 200. Labda utuambie Habari ni nini?
 
Nina hakika tangu umeamka hadi sasa hivi haujatembea huo mbali wa mita 200. Tuache kulalamika lalamika kama wanawake.
Kama unajua mita 200 usingemwuliza huyu mleta mada kama ametembea umbali huo. Kama hii ilikuwa ni habari basi tumefikia mahali ambapo kila kitu kinatumika kisiasa. This is too low!
 
Hiyo ni habari unafikiri huu uzi wako umetokana na nn kama sio hyo habari ya waziri mkuu kutembea mita 200. Labda utuambie Habari ni nini?
Unapomkuta mtoto mdogo anajisaidia kwenye 'pot' yake inaweza isiwe habari kabisa, lakini atakapotokea mtu akapiga picha na kuipost mahali kama habari kamili akitokea mwingine akahoji kwa mshangao hiyo ndio huwa habari
 
Asante kwa taarifa, kwa waliofika dodoma ofisi ya waziri mkuu na ikulu ndogo ni parefu Kidogo mita 200 ni makadirio ni zaidi ya hapo
Kama ni makazi yake na Ofisini. Ni umbali mrefu. Kilometa nne zinafika. Sasa sijaelewa hizo zinazotajwa kuwa mita 200 ni kutoka wapi kwenda wapi kwa pale Dodoma. Kwa sababu mita 200 ni sawa na mwanzo wa jengo la Mlimani City(mita 172) au zaid kidogo ya US carrier Nimitz!
 
PM sasa kafikia pabaya yaani kakosa kiki kwa muda mrefu ndio kaja na hiiii.. mita mia mbili kaokoa mamilioni?Kivipi?
 
Wanaomsifu ni takataka, lumpen proletariat!
 
Dahh haya maigizo yamefika pabaya.......
Wanasema wanabana matumizi alafu ela wanazobana wanapewa wabunge wa ndio kupitisha mambo Yao....ila kila la kheri pia lkn..
Bado mkhululu nae sjui atakuja na mbwembwe gani nxt tym
 
Kinachokuwasha hapo ni nini sasa?
 
Mita 200?? Kaokoa sh ngapi?
 
Tusubiri kama ndio itakuwa routine yake kila siku.
 
Unatafuta Kiki wewe huna lolote. Huku JF si sehemu ya kutafuta kiki nenda FB na Insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…