Hayo ni maigizo tu,juzi ijumaa kaeda kuswali pale magomeni kwenye msikiti wa kichangani,alikuwa na msafara wa magari 10,na pikipiki juu.na hao maaskari kibaaaao ova kuna vita.akasababisha watu tukae kwenye foleni kwa muda mrefu.sasa imagine magari 10 ni kiasi gani kilitumika.kwanza magari 10 ya nini yote hayo?[emoji15]