Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

hivi bado anaendelea na mazoezi ya kila siku kutembea hapo.
 
Kuna msemo maarufu kwa watu wa budget/cost controllers unasema, " do not be penny (p) clever and pound (£) stupid".

Wanaziba tundu wanaachia bomba linavuja.
 
Huku Iringa wanafanya Maandamano ya kumpongeza RAIS kwa kufanya Responsibility zake.

Siku Watanzania tutakapoamka naona hakutakiwa salama.Tumeacha kufanya kazi wenyeji wanatuambia wameambiwa lazima washiriki kwenye Maandamano ya Mkuu wa Mkoa

Bunge Live mfanye kazi maandamano ya kipumbavu rukhsa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Aliambiwa kisukar kinahitaji mazoez ya mara kwa mara....

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom