Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
ni alie mmojaHuyo anaewasalimia walio wengi ni nani?
ni alie mmoja
Ni mdogo wa marehemu,alikuwa tanapa dada yao ni yule wa hali ya hewa,wasambaa hawa mama yao alizaaHuyo anaewasalimia kafanana na marehemu jamani. Kidogo nisema marehemu kafufuka.
NduguHuyo anaewasalimia kafanana na marehemu jamani. Kidogo nisema marehemu kafufuka.
huenda anatamani sana kuvaa barakoa lakin anaogopa wanadamu...Brother Majaliwa akiendelea kuwa mkaidi wa kutokuvaa barakoa litamkuta jambo. Yetu macho 🤔
Viongozi wa Tanzania; Tatizo nini!?Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2021 ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam....
Mdogo mtu, anaitwa Allan Kijazi, DG wa TANAPA na pia ni KM kule MNRT...Huyo anaewasalimia walio wengi ni nani?
Ndogo wake huyo, anaitwa Allan Kijazi, katibu mkuu MNRTHuyo anaewasalimia kafanana na marehemu jamani. Kidogo nisema marehemu kafufuka.
Very strange, unaogopa binadamu over your healthy? We live once....huenda anatamani sana kuvaa barakoa lakin anaogopa wanadamu...
any way wanapaswa kujiongeza mapema
Wamejua kubebana. Nimeangalia CV ya dada yao(mdogo wao)kumbe alianzia vi certificates. Degree ya kwanza kapata akiwa na miaka 37 tena Nairobi huko,masters kasomea South Africa.Ni mdogo wa marehemu,alikuwa tanapa dada yao ni yule wa hali ya hewa,wasambaa hawa mama yao alizaa