funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 344
Uchuro😳Angalieni hii picha muzuri, mtanipa majibu baada ya mwezi
Uchuro😳Angalieni hii picha muzuri, mtanipa majibu baada ya mwezi
Tohoa kwenye mkazo.Msaidizi namba 1 wa Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi Jiwe asipoenda kwenye musiba huu kule Korogwe nitamnyanyulia Miguu na Mikono yote.
Huyo anaewasalimia kafanana na marehemu jamani. Kidogo nisema marehemu kafufuka.
Kijazi kingine Tena?Kijazi
Dar ndio makao makuu ya serikali.Sasa msafara umekuja Dar kufanya nini wakati anazikwa Tanga,au nilisikia vibaya?
Kwa hiyo ana vyeo vingapi kwa wakati mmoja?Mdogo mtu, anaitwa Allan Kijazi, DG wa TANAPA na pia ni KM kule MNRT...
ndhio kusema......?Angalieni hii picha muzuri, mtanipa majibu baada ya mwezi
Jiwe limejificha uvunguni,linaogopa kufa!!?Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2021 ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Pichani, Mheshimiwa Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali wailoshiriki katika kuupokea mwili huo wakimpa pole, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi ambaye alikuwa ni mmoja wa Wanafamilia na viongozi wa serikali waliosafiri pamoja na mwili wa marehemu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sawa lakini nitakuja muniambieUchuro😳
Si tumeambiwa Ndalichako aliongoza utoaji heshima za mwisho Dodoma!! au wako wawili🤣Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2021 ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Pichani, Mheshimiwa Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali wailoshiriki katika kuupokea mwili huo wakimpa pole, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi ambaye alikuwa ni mmoja wa Wanafamilia na viongozi wa serikali waliosafiri pamoja na mwili wa marehemu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kumbe mkuu yupo Dar?Ili mkuu apate access ya kuaga
Hazina faida ,usizitumieHivi barakoa zina faida gani?
Angalieni hii picha muzuri, mtanipa majibu baada ya mwezi
toka lini mkuu,.mimi nilidhani ni DodomaDar ndio makao makuu ya serikali.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kijazi