Waziri Mkuu aongoza msafara wa kupokea mwili wa Balozi Kijazi

Jiwe limejificha uvunguni,linaogopa kufa!!?
Mishuzi tu inatoka

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Si tumeambiwa Ndalichako aliongoza utoaji heshima za mwisho Dodoma!! au wako wawili🤣
 
Hawa akina Majaliwa wanajiamini nini na haya mavifo ya corona wao hawatupii barakoa,eti kulinda vyeo vyao;yani wanathamini vyeo kuliko uhai
 
Namuona prof Masai wa kwanza kushoto. Huyo jamaa huko bright sana. Ni Katibu wa wizara
Namkubali sana.
 
Kwahiyo hao wasiovaa barakoa wanamuogopa Rais atawavua
 
Niliowakea alama nyekundu kutokana na usimamaji wao ni dhahiri kuwa wanaumwa hata kama sio covid ila kuna kinachowasumbua
 

Attachments

  • IMG_20210219_084602_356.jpg
    28.2 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…