Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori.

Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe
Hii taarifa ni ya kubumba na mchongo kama kesi ya Mbowe.

Majaliwa ndio zake hizo. Haja wahi kuwa mkweli ever!

Kama hayo majina ni ya kweli hebu waende nayo pale Ngorongoro halafu kila mmoja aonyeshe makazi yake.

Ati wakazi wa Ngorongoro, kikao kimefanyikia Arusha. Kweli tuna onekana maboya kiasi hiki?
 
🤡🤡🤡👇
20220311134654.jpg
 
Hakuna kama Tanzania! Nikiwa mdogo niliambiwa Tanzania ni ya pili nyuma ya Islael kwa "ujasusi" leo ndio nimeamini. Maulid Kitenge oyeeeee! NGO ziiiiiiiiii!
🤣 Ahahahaahahahahahaaaaaaaa....

Ukweli navuta picha wale waliokuwa wanamponda Kitenge, yaani siwaoni humu kabisa, but tulisema ni suala la muda tu.

Kule tweeter kuna jamaa anaitwa Olaigwanan anaonekana ni maasai mwanasheria amekuwa akiponda sana but sioni tena akiweka mada za #tetea masai #ngorongoro ni yetu #stop ngorongoro land grabbing, nk

Ila ameanza kuhoji wamasai wengine kuwa siyo wenyewe na hawahusiki daa, hii nchi kila siku ni vioja.
 
Amewaeleza viongozi hao kwamba Serikali imetenga eneo la kilometa za mraba 400,000 wilayani Handeni ambalo kati ya hizo, kilometa za mraba 220,000 zilitumika kwa kujenga nyumba, kupima viwanja na kutenga maeneo ya malisho...
Kama watatekeleza haya....huenda wengi wao watakubali kuondoka kwa hiyari.
 
RC na waziri mkuu ni kitu kimoja kwa sababu wote wanatoka kwenye Serikali moja,hapo unategemea jipya katika ufafanuzi wa RC?Unahitaji kuwa na PhD ya Political science ili kujua mambo madogo kama haya?!
Anahisi RC atapingana na waziri mkuu?
Alijaribu sabufa, na shughuli aliyoona. Ije kuwa RC
 
Kuna ubuyu mpya ni kwamba hao jamaa si wakazi wa eneo husika.
 
Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data

Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.

My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.

Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.

Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali hiyo fake.

Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.

ModPv.jpg
AQwZ_m.jpg
20220311170002.jpg
0_20220311_170718.jpg
 
Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data

Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.

My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.

Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.

Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali fake hiyo.

Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.
View attachment 2147018View attachment 2147019View attachment 2147021View attachment 2147024
Amepewa jukumu kubwa la kuakisha dili inapita bila kalele nyingi kutoka kwa raia, ila a nalishwa data za matango pori, ila tu viongozi wa Tz hawana aibu tu.
 
Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data

Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.

My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.

Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.

Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali fake hiyo.

Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.
View attachment 2147018View attachment 2147019View attachment 2147021View attachment 2147024
Kituko kingine ni wale malaigwan 350 eti waliokubali kuhama kwa hiari na kuacha ardhi yao ya asili.. Eti wamesaini hati maalum ya makubaliano
 
Ivi nikweli mtu akiwa hadhi ya waziri mkuu hana wahariri? Wasaidizi wa kazi hizo? Any way kwa elimu aliyikuwa nayo wakati Ana andaa hotuba yake hakufikiria kitu kama hicho? ... duh
 
Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data

Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.

My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.

Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.

Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali fake hiyo.

Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.
View attachment 2147018View attachment 2147019View attachment 2147021View attachment 2147024
Huyu alisema rais mzima anachapa kazi, wakati mwenzake anajifia polepole huko.
 
Back
Top Bottom