njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Waziri mkuu wetu mbona mara nyingi anaongea vitu visivyokuwepo jamani? kha? km za mraba 400,000 handeni? kweli hiyo ni nusu ya ukubwa wa nchi hii iinayoshika nafasi ya 13 kwa ukubwa afrika ikiwa na km za mraba 960,000.
Anyway hongereni sana wamasai wa ngorongoro kupewa eneo lenye ukubwa wa nusu ya nchi wakati sisi tunasubiri reports za kuungua soko la karikaoo na mauaji yaliyofanyw ana polisi huko mtwara zote ni tume alizounda waziri mkuu.
NARUDIA TENA , HONGERENI SANA WAMASAI MMEULA KWELIKWELI ingawa wilaya nzima ya handeni ina km za mraba 7000 tu