Hii taarifa ni ya kubumba na mchongo kama kesi ya Mbowe.Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori.
Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe
Tusubiri ufafanuzi wa RC Mongela!
RC na waziri mkuu ni kitu kimoja kwa sababu wote wanatoka kwenye Serikali moja,hapo unategemea jipya katika ufafanuzi wa RC?Unahitaji kuwa na PhD ya Political science ili kujua mambo madogo kama haya?!Tusubiri ufafanuzi wa RC Mongela!
Kwa sauti ya Kitenge...Lazima waondoke wapuuzi hawa
🤣 Ahahahaahahahahahaaaaaaaa....Hakuna kama Tanzania! Nikiwa mdogo niliambiwa Tanzania ni ya pili nyuma ya Islael kwa "ujasusi" leo ndio nimeamini. Maulid Kitenge oyeeeee! NGO ziiiiiiiiii!
Kama watatekeleza haya....huenda wengi wao watakubali kuondoka kwa hiyari.Amewaeleza viongozi hao kwamba Serikali imetenga eneo la kilometa za mraba 400,000 wilayani Handeni ambalo kati ya hizo, kilometa za mraba 220,000 zilitumika kwa kujenga nyumba, kupima viwanja na kutenga maeneo ya malisho...
Anahisi RC atapingana na waziri mkuu?RC na waziri mkuu ni kitu kimoja kwa sababu wote wanatoka kwenye Serikali moja,hapo unategemea jipya katika ufafanuzi wa RC?Unahitaji kuwa na PhD ya Political science ili kujua mambo madogo kama haya?!
Ila ni wapiga kura wa Tanzania?Kuna ubuyu mpya ni kwamba hao jamaa si wakazi wa eneo husika.
Amepewa jukumu kubwa la kuakisha dili inapita bila kalele nyingi kutoka kwa raia, ila a nalishwa data za matango pori, ila tu viongozi wa Tz hawana aibu tu.Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data
Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.
My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.
Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali fake hiyo.
Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.
View attachment 2147018View attachment 2147019View attachment 2147021View attachment 2147024
Kituko kingine ni wale malaigwan 350 eti waliokubali kuhama kwa hiari na kuacha ardhi yao ya asili.. Eti wamesaini hati maalum ya makubalianoKatika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data
Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.
My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.
Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali fake hiyo.
Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.
View attachment 2147018View attachment 2147019View attachment 2147021View attachment 2147024
Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data
Kilomita za mraba 400,000 ni karibia sawa na nusu ya Tanzania nzima yenye ukubwa wa kilomita za mraba 945,087.
My take:
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kura fake hujidhihirisha yenyewe kwa mambo yake ambayo ni fake.
Serikali fake iliyoingia madarakani kwa kupora chaguzi hutumia muda mwingi sana kudhihirisha uwezo wake mdogo kwa wananchi kama Serikali hii inavyofanya.
Serikali ambayo ipo busy kudanganya watu wake karibia kila kitu ni Serikali yenye laana na laana hiyo huanza kutafuna wananchi wake ambao wanalea Serikali fake hiyo.
Kuna umuhimu kama Taifa kujitafakari tumefika vipi hapa na tunapaswa kufanya nini ili kurekebisha makosa haya na kujinasua katika laana hizi.
View attachment 2147018View attachment 2147019View attachment 2147021View attachment 2147024
🤣🤣🤣Metui Oleshaudo kiongozi wa Malaingwanan wa Ngorongoro apinga kauli kwamba wamekubali kuhama
Hii ndio taarifa mpya ya sasa hivi kutoka Ngorongoro , inadaiwa kwamba serikali imekusanya wamasai kutoka maeneo mengine na kuwapeleka kwenye kikao cha Waziri Mkuu na kuwafanya wakazi wa Ngorongoro na kudanganya kwamba wamekubali kuhama . Madai haya mapya yametolewa na kiongozi wa Malaingwanan...www.jamiiforums.com
Ivi nikweli mtu akiwa hadhi ya waziri mkuu hana wahariri? Wasaidizi wa kazi hizo? Any way kwa elimu aliyikuwa nayo wakati Ana andaa hotuba yake hakufikiria kitu kama hicho? ... duhKituko kingine ni wale malaigwan 350 eti waliokubali kuhama kwa hiari na kuacha ardhi yao ya asili.. Eti wamesaini hati maalum ya makubaliano
Huyu alisema rais mzima anachapa kazi, wakati mwenzake anajifia polepole huko.Katika vitimbi vinavyoendelea katika Serikali ya awamu ya sita waziri mkuu ndugu Kassim Majaliwa amedai kuwa wamasai wametengewa eneo Handeni lenye ukubwa wa kilomita za mraba 400,000 wakati Handeni ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,366 tu kwa mujibu wa World Bank Open Data | Data