njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Waziri mkuu wetu mbona mara nyingi anaongea vitu visivyokuwepo jamani? kha? km za mraba 400,000 handeni? kweli hiyo ni nusu ya ukubwa wa nchi hii iinayoshika nafasi ya 13 kwa ukubwa afrika ikiwa na km za mraba 960,000...
Duuu ni shida tupuWaziri mkuu wetu mbona mara nyingi anaongea vitu visivyokuwepo jamani? kha? km za mraba 400,000 handeni? kweli hiyo ni nusu ya ukubwa wa nchi hii iinayoshika nafasi ya 13 kwa ukubwa afrika ikiwa na km za mraba 960,000.
Anyway hongereni sana wamasai wa ngorongoro kupewa eneo lenye ukubwa wa nusu ya nchi wakati sisi tunasubiri reports za kuungua soko la karikaoo na mauaji yaliyofanyw ana polisi huko mtwara zote ni tume alizounda waziri mkuu
NARUDIA TENA , HONGERENI SANA WAMASAI MMEULA KWELIKWELI ingawa wilaya nzima ya handeni ina km za mraba 7000 tu
Laana ya kudanganya kwenye nyumba ya ibada inamtafuna yule mzee.Waziri mkuu wetu mbona mara nyingi anaongea vitu visivyokuwepo jamani? kha? km za mraba 400,000 handeni? kweli hiyo ni nusu ya ukubwa wa nchi hii iinayoshika nafasi ya 13 kwa ukubwa afrika ikiwa na km za mraba 960,000...
kaamua kuwapa nchi wamasaiNasikia katelefone katoa boko...
Jifunze kutofautisha kati ya km za mraba 400000 na eka 400000. Nafkir umekurupuka kupostiWaziri mkuu wetu mbona mara nyingi anaongea vitu visivyokuwepo jamani? kha? km za mraba 400,000 handeni? kweli hiyo ni nusu ya ukubwa wa nchi hii iinayoshika nafasi ya 13 kwa ukubwa afrika ikiwa na km za mraba 960,000.
Anyway hongereni sana wamasai wa ngorongoro kupewa eneo lenye ukubwa wa nusu ya nchi wakati sisi tunasubiri reports za kuungua soko la karikaoo na mauaji yaliyofanyw ana polisi huko mtwara zote ni tume alizounda waziri mkuu
NARUDIA TENA , HONGERENI SANA WAMASAI MMEULA KWELIKWELI ingawa wilaya nzima ya handeni ina km za mraba 7000 tu
Usinikumbushe mkataba wa Karl Peters na chifu Mangungo wa kisukuma. Kinachofurahisha ni ile signature ya Mangungo.Kituko kingine ni wale malaigwan 350 eti waliokubali kuhama kwa hiari na kuacha ardhi yao ya asili.. Eti wamesaini hati maalum ya makubaliano