Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena za makalio, kuashiria akikaa madarakani asitoke😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena za makalio, kuashiria akikaa madarakani asitoke😂😂😂😂
🤣🤣🤣Nishaanza kuharibu uzi🙌...oke byeMmeanza 😂
Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alioa mke muongeaji sana, mkewe alikuwa mropokaji sana, akakaa nae na kumshauri ampeleke kwa mganga. Mke akashawishika. Wakaenda kwa mganga akawaambia atamchanja chale kwenye ulimi 👅 ili akiongea tu zinawasha kama pilipili 😂.Tena za makalio, kuashiria akikaa madarakani asitoke😂😂😂😂
Inaendelea au??😂😂Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alioa mke muongeaji sana, mkewe alikuwa mropokaji sana, akakaa nae na kumshauri ampeleke kwa mganga. Mke akashawishika. Wakaenda kwa mganga akawaambia atamchanja chale kwenye ulimi 👅 ili akiongea tu zinawasha kama pilipili 😂.
Kumbe ilikuwa kwel bhana, Mke kufika home kama kawaida yake akaanza kuropoka na kufoka baada ya siku kadhaa...
Akawa kila akiongea maneno zaidi ya 100 kwa dakika 1 mdomo unawasha kama pilipili... Anatulia mwenyewe kimyaaa...
Baadae mume akamwonea huruma mke wake akataka amrudishe kwa mganga akawatoe ile dawa, yule mganga akawaambia hiyo dawa itapatikana baada ya week mbili. Lakini akamwambia endapo ulimi ukiwasha mumewe atakuwa anamkiss mdomoni na ule muwasho utaisha...
Wakarudi nyumbani kusubiri zile week mbili huku wakiendelea na ile tiba mbadala ya kukissiana mdomoni...
Baada ya week mbili wakapokea taarifa yu
Ikimpendeza mleta mada nisije kuharibu uzi 😂Inaendelea au??😂😂
Nooo namaanisha vingine🤣🤣🤣Nishaanza kuharibu uzi🙌...oke bye
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo.
Mtanda amesema baadhi ya madereva wamekuwa wakilogana ili wapate magari ya kuendesha kutokana na vyombo vyao kuharibika na kuishia kukaa kwenye ajira wakilipwa mishahara bila kupangiwa majukumu, hivyo baadhi hufanya mambo hayo wapangiwe kazi.
Akizungumzia leo Agosti 20, 2024, Waziri Mkuu Majaliwa amewataka wakuu wote wa taasisi na waajiri kuhakikisha wanafanya tathimini ya magari yote ya Serikali yaliyoharibika na yatengenezwe, kuhakikisha madereva wote walioajiriwa wanapata vyombo vya kufanyia kazi.
"Mmh! hili la kulogana limenishtua sana, sijawahi kujua kwamba madereva mnafikia hatua ya kulogana ili mpate vyombo vya kufanyia kazi.”
"Hivyo sasa nitumie nafasi hii, kuwaagiza wakuu wote wa taasisi na waajiri waanze kufanya tathimini mapema sana ya kufufua magari ya Serikali yaliyoharibika ili madereva wapangiwe kazi wasilogane kugombea machache yaliyopo," amesema.
Mbali na hilo, amewataka waajiri kubainisha madereva waliopo kwenye taasisi zao ambao hawana vyombo vya kufanyia kazi au hawajapangiwa majukumu, ili Serikali iwatambue na kuwapangia kazi.
MWANANCHI
Baada ya week mbili wakapokea taarifa mbaya kuhusu yule mganga. Yule mganga alifariki kwa kufa ghafla...Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alioa mke muongeaji sana, mkewe alikuwa mropokaji sana, akakaa nae na kumshauri ampeleke kwa mganga. Mke akashawishika. Wakaenda kwa mganga akawaambia atamchanja chale kwenye ulimi 👅 ili akiongea tu zinawasha kama pilipili 😂.
Kumbe ilikuwa kwel bhana, Mke kufika home kama kawaida yake akaanza kuropoka na kufoka baada ya siku kadhaa...
Akawa kila akiongea maneno zaidi ya 100 kwa dakika 1 mdomo unawasha kama pilipili... Anatulia mwenyewe kimyaaa...
Baadae mume akamwonea huruma mke wake akataka amrudishe kwa mganga akawatoe ile dawa, yule mganga akawaambia hiyo dawa itapatikana baada ya week mbili. Lakini akamwambia endapo ulimi ukiwasha mumewe atakuwa anamkiss mdomoni na ule muwasho utaisha...
Wakarudi nyumbani kusubiri zile week mbili huku wakiendelea na ile tiba mbadala ya kukissiana mdomoni...
Baada ya week mbili wakapokea taarifa yu
Kumbe huyu mtu ni dada?🤣🤣🤣🤣 Ila we dada wewe🙌
Polisi ndio inaongoza.Anashangaa Nini sasa wakati katika kada zinazoongoza kwa kurogana ni madereva.