Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

Tena za makalio, kuashiria akikaa madarakani asitoke😂😂😂😂
Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alioa mke muongeaji sana, mkewe alikuwa mropokaji sana, akakaa nae na kumshauri ampeleke kwa mganga. Mke akashawishika. Wakaenda kwa mganga akawaambia atamchanja chale kwenye ulimi 👅 ili akiongea tu zinawasha kama pilipili 😂.

Kumbe ilikuwa kwel bhana, Mke kufika home kama kawaida yake akaanza kuropoka na kufoka baada ya siku kadhaa...

Akawa kila akiongea maneno zaidi ya 100 kwa dakika 1 mdomo unawasha kama pilipili... Anatulia mwenyewe kimyaaa...

Baadae mume akamwonea huruma mke wake akataka amrudishe kwa mganga akawatoe ile dawa, yule mganga akawaambia hiyo dawa itapatikana baada ya week mbili. Lakini akamwambia endapo ulimi ukiwasha mumewe atakuwa anamkiss mdomoni na ule muwasho utaisha...

Wakarudi nyumbani kusubiri zile week mbili huku wakiendelea na ile tiba mbadala ya kukissiana mdomoni...

Baada ya week mbili wakapokea taarifa yu
 
Inaendelea au??😂😂
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo.

Mtanda amesema baadhi ya madereva wamekuwa wakilogana ili wapate magari ya kuendesha kutokana na vyombo vyao kuharibika na kuishia kukaa kwenye ajira wakilipwa mishahara bila kupangiwa majukumu, hivyo baadhi hufanya mambo hayo wapangiwe kazi.

Akizungumzia leo Agosti 20, 2024, Waziri Mkuu Majaliwa amewataka wakuu wote wa taasisi na waajiri kuhakikisha wanafanya tathimini ya magari yote ya Serikali yaliyoharibika na yatengenezwe, kuhakikisha madereva wote walioajiriwa wanapata vyombo vya kufanyia kazi.

"Mmh! hili la kulogana limenishtua sana, sijawahi kujua kwamba madereva mnafikia hatua ya kulogana ili mpate vyombo vya kufanyia kazi.”

"Hivyo sasa nitumie nafasi hii, kuwaagiza wakuu wote wa taasisi na waajiri waanze kufanya tathimini mapema sana ya kufufua magari ya Serikali yaliyoharibika ili madereva wapangiwe kazi wasilogane kugombea machache yaliyopo," amesema.

Mbali na hilo, amewataka waajiri kubainisha madereva waliopo kwenye taasisi zao ambao hawana vyombo vya kufanyia kazi au hawajapangiwa majukumu, ili Serikali iwatambue na kuwapangia kazi.

MWANANCHI

Kurogana?!

Mawazo ya miaka 500 iliyopita tulijilinganisha na ulaya, Marekani na kuliko staarabika huko.

No wonder Karne ya 21 tuko busy kupiga nyungu.
 
Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alioa mke muongeaji sana, mkewe alikuwa mropokaji sana, akakaa nae na kumshauri ampeleke kwa mganga. Mke akashawishika. Wakaenda kwa mganga akawaambia atamchanja chale kwenye ulimi 👅 ili akiongea tu zinawasha kama pilipili 😂.

Kumbe ilikuwa kwel bhana, Mke kufika home kama kawaida yake akaanza kuropoka na kufoka baada ya siku kadhaa...

Akawa kila akiongea maneno zaidi ya 100 kwa dakika 1 mdomo unawasha kama pilipili... Anatulia mwenyewe kimyaaa...

Baadae mume akamwonea huruma mke wake akataka amrudishe kwa mganga akawatoe ile dawa, yule mganga akawaambia hiyo dawa itapatikana baada ya week mbili. Lakini akamwambia endapo ulimi ukiwasha mumewe atakuwa anamkiss mdomoni na ule muwasho utaisha...

Wakarudi nyumbani kusubiri zile week mbili huku wakiendelea na ile tiba mbadala ya kukissiana mdomoni...

Baada ya week mbili wakapokea taarifa yu
Baada ya week mbili wakapokea taarifa mbaya kuhusu yule mganga. Yule mganga alifariki kwa kufa ghafla...

Ikawa ile tiba ndio kwaheri hivo, yule mke akaanza kubadilika taratibu na kuwa mtu mkimya na mstaarabu... Sasa jamaa yeye akaanza kumchoka mkewe maana walifanya sana tendo la ndoa kulingana na ugumu wa kuhamdle hisia wakati wa tiba... Ikatokea purukushani wakaachana...

Mke akaenda kupata mtu mwingine akawa anaishi nae kwa siri bila kujua matatizo yake... Baada ya siku kupita ile tabia yake ya uropokaji ikawa inarejea taratibu...

Siku moja akichambana na jirani yake mara ulimi ukaanza kuwasha sana... Akamkimbilia mumewe yule mpya hadi kazini kwake na kumkissi mbele ya watu lakini wapi🤣... Mume hakuelewa alijua labda mkewe kammiss sana... Mke alikiss sana lakini wapi...

Jamaa akamwambia mke atangulie home akaandae na mazingira maana yeye alijua labda mke kammiss...

Baada ya siku kupita ikatokea tena akaropoka ulimi ukawa unawasha sana kuzidi siku zote, mumewe hakuwepo, akakimbilia ndani kuchukua funguo ya gari akatoka nje akaingia kwenye gari kisha akachomoka fasta mpaka kwa mume wa zamani a.k.a mr.tiba muwasho,

Amefika home kwake hakuuliza akawahi mdomo, mdomo mdomo ikachukua kama dakika 30. Kilichofuata ni mmoja alipewa talaka mwingine akaoa mara ya 2
 
Kwa kuwa maisha ni mchezo, kulogana ni muhimu. Huenda hapa ulimwengu bila kuloga hupati kitu. Wanaojua hili wapo mbali sana kimaendeleo ila wanakariri kuwa "maendeleo ni siri na siri ndio maendeleo ".
 
Kwahiyo gari ikiharibika haitengenezwi bali dereva anakaa benchi?
 
Anashangaa Nini sasa wakati katika kada zinazoongoza kwa kurogana ni madereva.
Polisi ndio inaongoza.
Umesha wahi kua karibu na polisi wa usalama barabarani?
Eti upangwe u traffik hivi hivi?
Yaani upangwe sehemu ya kwenda kuchukua pesa bila kuifanyia kazi hivi hivi, Tena mkoa wa Pwani? Weuwee!
 
Back
Top Bottom