Ugonjwa una zaidi ya mwezi hapa bongo ila ndo wagonjwa 12 tu.kuna haja kweli ya kuwa na papara ?Wanazinduka baada ya wagonjwa kufika 12!!!
Vinahitajika vikosi vya kuunga mkono juhudi za Magufuli na hotuba zake na si vinginevyo.Kwanza nianze kumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayotupatia kila uchwao Watanzania hasa baada ya maradhi haya ya corona kuingia nchini.
Niombe kuwa wazi kuwa mimi ni miongoni mwa watanzania wachache ambao huwa na staki kupongeza watawala wetu wanapotmiza wajibu wao.
Mfano, hatua zote zilizochukuliwa na serikali ya Tanzania ingawa mimi sizioni kama zipo very strong ukilinganisha na maradhi yenyewe yanavyooua watu. Mimi siwezi wapongeza kamwe.
To make story short. Hatua ya Mh. Waziri Mkuu kuunda kamati ya kukinga maradhi ya corona na kikosi kazi chenyewe kinaundwa na WANASIASA WATUPU, sidhani kama ni busara.
Nadhani hii ni matokeo ya sisi wananchi kuwakabidhi wanasiasa maisha yetu yote. Mfano, leo hii Kamati Kuu ya Kitaifa inaundwa na Mawaziri na baadhi ya Makatibu Wakuu, kwanini isingeundwa na Madaktari?
Mimi ningeulizwa, kikosi kazi cha Taifa cha kukinga maradhi haya kilitakwa kuundea na wataalamu wa AFYA. I mean madakitari tuwaunganishe madakari wote kutoka hospitali za umma, za majeshi, na serikalini waunde timu.
KIKOSI KAZI CHANGU CHA PILI
Ni manesi wote nchini waundiwe team wawasaidie madakutari.
Kikosi kazi cha mwisho wanasiasa wao kazi yao watakuwepo kwa ajili ya kutimiza matakwa ya wataalamu hapo juu nankuhakikisha hawana upungufu wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hizo kamati ni kituko, sijui kama wako makini.Mhe. Majaliwa ni moja ya watumishi wa watu kwelikweli. Kama kigezo kile cha kumpata Rais ni cha kweli, basi ingefaa huyu amrithi Mhe. Magufuli.
Ulaji upi zaidi ya huu.Ila chonde chonde!! Janga hili lisigeuzwe kuwa neema kwa wengine kwa ulaji haramu kama vile kufanya vikao vyenye posho kubwa kubwa, na ziara/safari zenye posho lukuki hata kutamani janga liendelee maana limeambatana na "neema”.
Tunaziombea kamati hizi ziwe chachu ya kukabili na kutokomeza janga hili la korona. Mungu awatie nguvu.
Namuona kalala kwenye mawe tu huko dodoma
Kwani mtu ili uitwe mpinzani ni kupinga kila kitu?Hakuna aliye seriaz na nchi watu wanahangaikia matumbo yao
Wanaolalamika wameshindwa kujenga ofisi ya makao makuu ya chama japo wanapewa mamilioni ya RUSUKU kila mwezi na michango ya lazima ya wabunge wao. Wafuasi wao nao wamefungwa midomo wasihoji matumizi ya ruzuku.Afadhali.maana kuna watu wavyolalamika kuhusu serikali kutochkua hatua.wkt kila jambo linaenda kwa mipango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahaha..........Yumo kwenye kamati ya tatu, ambayo ni ya wataalamu.
Naamini roho yako imesuuzika kwa jibu hili.
WE NEED ENOUGH SUPPLY OF MEDICAL EQUIPMENtS TO PROTECT STAFFS AGAINTS COVID - 19 , NOT 3 COMMITTEEWaziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya Wataalamu.
View attachment 1397434View attachment 1397436
hahaha hahahha hahahah haha nani wa kuvichunguza sasa?Mimi natamani vifaa vya Jack ma wa alibaba vichunguzwe kwanza kabla ya kusambazwa, vinaninyima sana usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app