Kauli ya mtu muoga,mwenye hofu na asiejiamini."Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia.
Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala
Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia.
Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
Waziri Mkuu wa Israel hajawahi kuwa mwoga hasa lina pokuja suala la kukabiliana na Wafuga Midevu na Majini. Na angekuwa mwoga tu Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa dunia, Israel ipo mpaka leo kwa ajili ya ushujaa wa watu wake tu.Kauli ya mtu muoga,mwenye hofu na asiejiamini.
Sababu kubwa inayomfanya awe mtu wa maneno mengi, nikwamba nguvu alizonazo hazitoshi kuikabili Iran, na anaongea sana na kufanya kila aina ya ushawishi ili kuyavutia mataifa yenye nguvu kukubaliana na fikra zake na kujiunga nae, na kwa pamoja waikabili Iran,kwa bahati mbaya bado hajafanikiwa.na hata mshirika wake mkubwa na mlezi wake Marekani anaonekana kurudi nyuma na hajawa tayari kukabiliana na Iran kijeshi kama ambavyo yeye Netapaka anataka iwe.
Hiyo haisaidii wana wa Mbwa wataendelea kupigwa bila wasiwasi wowoteAnaomba sapoti ya ulaya, ulaya inamtupa mkono, ireland, spain,france nk wanataka kuitambua palestina,huko marekani wayahudi wa huko wamekataa kumkaribisha ben gvir kwenye masinagogi
Promise 3 ime ishia wapi nyie msio na manenoKauli ya mtu muoga,mwenye hofu na asiejiamini.
Sababu kubwa inayomfanya awe mtu wa maneno mengi, nikwamba nguvu alizonazo hazitoshi kuikabili Iran, na anaongea sana na kufanya kila aina ya ushawishi ili kuyavutia mataifa yenye nguvu kukubaliana na fikra zake na kujiunga nae, na kwa pamoja waikabili Iran,kwa bahati mbaya bado hajafanikiwa.na hata mshirika wake mkubwa na mlezi wake Marekani anaonekana kurudi nyuma na hajawa tayari kukabiliana na Iran kijeshi kama ambavyo yeye Netapaka anataka iwe.
Kwamba israel ndo anawalinda eu .. hata eu waliamini russia ndo adui yao kumbe wapi"Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia.
Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala
Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia.
Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
Ndio ni muoga hajawahi kupigana na nchi ya maana yenye nguvu na air defence system ... kama uturuki na iran safari hii ni piga ni kupige na hapo usa akijichanganya kuingili imekula kwake na kw dunia kwa ujumlaWaziri Mkuu wa Israel hajawahi kuwa mwoga hasa lina pokuja suala la kukabiliana na Wafuga Midevu na Majini. Na angekuwa mwoga tu Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa dunia, Israel ipo mpaka leo kwa ajili ya ushujaa wa watu wake tu.
Pia si kweli kuwa nguvu zake hazitoshi kukabiliana na na Magaidi hao wa Iran Kumbuka majeshi ya Israel yaliichakaza mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran Oct 26,2024 najua wewe hulijui hilo maana umekalia kusifia-sifia vitu ambavyo huvijui!!!
Napenda pia kukujulisha kuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupigana vita peke yake hata Russia mwenyewe anawategemea China,Iran,Afrika kusini na nchi zingine katika kukabiliana na majeshi Ukraine peke yake hawezi Alipo hapo Ana Tumia drones za Iran na makombola yake anategemea Korea kaskazini na Afrika kusini. Lakini kwa ujinga wako unaona Israel ikishirikiana na Marekani ni dhambi yaani Kunya anye kuku akina Bata unasema anaharisha. Tumia akili yako vizuri kijana!!
kila siku hivyo hivyo tu nyie mtapiga vichanga na vilema na mahema sio waaatu wenye utimamu wao km IRAN"Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia.
Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala
Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia.
Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
Ama kweli wewe hazikutoshi ni zuzu kabisa!Ama kweli wewe hazikutoshi ni zuzu kabisa!!
hezbollah wanafanana nini na IRAN?Hata kwa Magaidi wa Hezboullah mlikuwa Mnasema hivyo lakini sasa hivi mko kimya!!
Imeitimua Israel katika Muungano WA nchi za Afrika (AU)Tanganyika inasemaje?
Magaidi Hezbollah na Hamas nao walikua ni vichanga na vilema.?!kila siku hivyo hivyo tu nyie mtapiga vichanga na vilema na mahema sio waaatu wenye utimamu wao km IRAN