Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

Hata kwa Magaidi wa Hezboullah mlikuwa Mnasema hivyo lakini sasa hivi mko kimya!!
Walikua wanawasifu Hezbollah lakini ndani ya week 3 tatu myahudi alikua ameshamalizana nao. Viongozi karibu wote pamoja na yule mkuu wao Nasra wakatangulizwa kuzimu mapema tu
 
Walikua wanawasifu Hezbollah lakini ndani ya week 3 tatu myahudi alikua ameshamalizana nao. Viongozi karibu wote pamoja na yule mkuu wao Nasra wakatangulizwa kuzimu mapema tu
Uyo M'babe wenu mbona muoga kwenda IRAN kama kusifu atujaishia kwa hezbollah tu yupo Baba wa wote ambaye ni IRAN vip mbona uko asogei tujue kweli wao wananguvu na waogopwe!!!!!!!
 
"Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia.
Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala
Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia.
Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
Huyu changudoaa wa kisiasa ana matatizo. Yuko tayari kuangamiza mamia kukwepa kufungwa kwa kesi zake za ufisadi.
 
Juzi kati Waziri w mambo y nje akiwa Uturuki akiojiwa na mwandishi Habari kuusu Vitisho vya Israel !!!

Jamaaa akajibu kibabe sana akasema !!!

Israel aijawai kuwa tayali kuishambulia IRAN siku za nyuma wala sasa na wala uko mbele aitawai kuwa tayali kutekeleza shambulizi dhidi ya Iran !!!!!

akaendelea kusema ata iyo Marekani yenyewe imeshajua uwezo wa IRAN ivyo inajiepusha kushambulia IRAN
 
kila siku hivyo hivyo tu nyie mtapiga vichanga na vilema na mahema sio waaatu wenye utimamu wao km IRAN
Mwaka huuu na mwaka jana tumegundua kumbe miaka yote walikuwa Waongo waongo kujifanya wananguvu kumbe O !!!

kwa Hezbollah pia walipukutishwa kule kusini wakakimbia wakaanza kupiga majengo eti Beirut iwe Gaza sasa ushindi gani wa kikike unakimbia uwanjani unaenda kupambana na majengo!!!!!!

Zayuni Media tu zimewapa promotion lkn O wanavizia seem zaifu mfano Syria baada ya kuona kwasasa awapovizuli wanajitafuta wenyewe kwa wenyewe ndio nae amejisogeza ndani zaid !!

mtu kama uyu ndio asogee Iran thubutu ataendelea tu kupigwa na Yemen kazi yake kuficha vidonda uku yeye akipiga mikwara na kutafuta seem kama izo Gaza.
 
Uyo M'babe wenu mbona muoga kwenda IRAN kama kusifu atujaishia kwa hezbollah tu yupo Baba wa wote ambaye ni IRAN vip mbona uko asogei tujue kweli wao wananguvu na waogopwe!!!!!!!
Hezbollah siku hizi wamekua kama mgambo wa jiji baada ya kipigo kutoka kwa myahudi. Next Target ni Yule ayatollah mchawi mfuga majini
 
Holocaust ni hadithi zenye uongo mwingi ambao tunalazimishwa tuukubali.
 
Back
Top Bottom