#COVID19 Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

Huruhusiwi kuingia nchi za Magharibi kama umepata chanjo ya China ambayo ubora wake haujathibitishwa katika nchi hizo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi

Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya kuwatembelea kwa kuwa nchi zinataka watu waliochanja

Kwasababu hiyo nchi imeleta chanjo kila mwenye uhitaji aweze kuchoma ili kupata huduma nje ya nchi ikiwemo kuhiji
 
Nikikumbuka tu ile kauli yake "Mh. Rais Magufuli ni mzima na anaendelea kuchapa kazi, wapuuzeni wasioitakia Aman Nchi yetu........" akazidi kujimwambafai ".... unataka rais atembe Kariakoo, Magomeni, kwenye daladala.........., Rais wa nchi ana utaratibu wake......"

Tangu tarehe 17 March Mimi Twilumba huwa sina simwamini huyu ng'ooo.......
 
Kwann kukizana kunachukua nafasi kubwa serikalini kilamtu nalake

Kutumia majumba ya ibada kudanganyia sio vizuri ,tuliambiwa mwezi 12 Leo tena IPO anayetaka akachanjwe
 
SASA SI WATANGAZE RASMI KWAMBA CHANJO ZIPO ILI WATU WAZIMA..MADR..WALIMU NA MANES NA KILA ANAYETAKA BASI AFABYE
Kwahiyo watu wazima Ni madaktari,manesi na walimu,umesoma alichosema Hon.PM,wewe naye unakuja na mapendekezo yako,walimu wamekuambia wanahitaji chanjo?
 
SASA SI WATANGAZE RASMI KWAMBA CHANJO ZIPO ILI WATU WAZIMA..MADR..WALIMU NA MANES NA KILA ANAYETAKA BASI AFABYE
Kwani umekatazwa kwenda kudungwa chanjo?

Unasubiri nini kupeleka kalio wakalitie sindano?
 
Serikali hii hii ilisema chanjo ni hadi Desemba:

Ziko wapi chanjo hizo tunaozitaka tukachanjwe?

No wonder huyu bwana alisema mwendazake alikuwa busy akichapa kazi.
Amejisahau labda yeye kachanjwa huko mafichoni 🤣
 
Kama nia ni kuonekana akichomwa, akichomwa maji utajua? 🤣
Ndo hapo sasa, lakini aonekane akichoma kusisitiza umuhimu wa hiyo chanjo siyo kutoa mwaliko tu. Ni sawa na kualika kwako wageni waje kula nyama, halafu wewe unajifungia chumbani...
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi

Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya kuwatembelea kwa kuwa nchi zinataka watu waliochanja

Kwasababu hiyo nchi imeleta chanjo kila mwenye uhitaji aweze kuchoma ili kupata huduma nje ya nchi ikiwemo kuhiji
Aisee mimi nataka chanjo, hebu nipe utaratibu jombaa
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya ugonjwa wa Corona ipo tayari nchini mwananchi yoyote anayetaka kuchanjwa akachanje kwa ajili ya kupata kinga dhidi ya ugonjwa huo.

IMG_7032.jpg

N:B Hii chanjo ingetakiwa ihimizwe na kila mwananchi aipate!
 
View attachment 1862235
N:B Hii chanjo ingetakiwa ihimizwe na kila mwananchi aipate!
Hapo kwenye NB yako, wewe nenda kaihimize familia yako mwenyewe...
 
Back
Top Bottom