#COVID19 Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

#COVID19 Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

Sisi ndio tunaingia burundi.
FB_IMG_16268666696006411.jpg
 
Miccm ndio imetanguliza makalio huko kwenda kupata chanjo, halafu ikija ONLINE inavyopinga utadhani yako Member of Parliament
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya ugonjwa wa Corona ipo tayari nchini mwananchi yoyote anayetaka kuchanjwa akachanje kwa ajili ya kupata kinga dhidi ya ugonjwa huo.
View attachment 1862235
N:B Hii chanjo ingetakiwa ihimizwe na kila mwananchi aipate!
 
Miccm ndio imetanguliza makalio huko kwenda kupata chanjo, halafu ikija ONLINE inavyopinga utadhani yako Member of Parliament

Upo sahihi, yaani maccm ni makitu ya ajabu sana! Likitokea jambo yanaangalia mabwana zao wako upande gani, ikitokea hivi sasa mmoja wa bwana zao akisema hii chanjo ni lazima utayaona yatakavyogeuka na kulazimisha wakati huku yanapinga!
 
Ajabu kweli! Anazungumza juu juu tu bila kuhakikisha kauli yake haina mapungufu.

Hiyo chanjo, iko wapi ? ni ya aina gani ? inatolewa wapi ? au kuipata mpaka uwe na "connection" ?
 
Upo sahihi, yaani maccm ni makitu ya ajabu sana! Likitokea jambo yanaangalia mabwana zao wako upande gani, ikitokea hivi sasa mmoja wa bwana zao akisema hii chanjo ni lazima utayaona yatakavyogeuka na kulazimisha wakati huku yanapinga!
Wagonjwa wa akili hawa. Hakuna MTU mwenye akili timamu anayeweza kuiunga mkono CCM
 
Neno la uzima.......anaetaka aende acheni kutupigia kelele
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi

Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya kuwatembelea kwa kuwa nchi zinataka watu waliochanja

Kwasababu hiyo nchi imeleta chanjo kila mwenye uhitaji aweze kuchoma ili kupata huduma nje ya nchi ikiwemo kuhiji
Siasa Imekuja lini mbona hamkutangaza? Itakuwa kuchanja NYUNGU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom