#COVID19 Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

#COVID19 Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

Serikali hii hii ilisema chanjo ni hadi Desemba:

Ziko wapi chanjo hizo tunaozitaka tukachanjwe?

No wonder huyu bwana alisema mwendazake alikuwa busy akichapa kazi.
Tena alisemea msikitini! Tunapaswa kumsamehe na maisha yarndelee
 
Tena alisemea msikitini! Tunapaswa kumsamehe na maisha yarndelee

Kiungwana anatakiwa kujiuzulu au kufurushwa. Si huyu wala vigogo wa wizira ya afya awamu ile wanaweza kuwa na tija leo.
 
Hjyo chanjo ni ga wimbi la ngapi..maana nasikia kirusi kimeshajibadilisha
 
Je kweli watu mipango ya serikali hasa kwenye Sera ya afya kwenye magonjwa mlipuko na kinatakiwa kifanyike kukabiliana na ugonjwa husika.je watu Wanajua chanjo ni nini. au tatizo ni chanjo ya Corona. Je ugonjwa wa ebola ungewahi kutokea Tanzania watu bado wangekataa chanjo ya ebola.tatizo nini hasa Tanzania
 
Ameongelea msikitini? Mimi nimekumbuka tu alivyoongelea Njombe kuwa kipenzi chetu yu mzima wa afya anachapa kazi, "mnataka atoke aende Kariakoo?"
Sasa hapa nasibiri ki-Thomaso mimi.
 
Hjyo chanjo ni ga wimbi la ngapi..maana nasikia kirusi kimeshajibadilisha
Ni wimbi la kwanza wakati watu wako wimbi la tatu huku ni sawa na kununua simu yenye android version jellybean leo hii.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Serikali hii hii ilisema chanjo ni hadi Desemba:

Ziko wapi chanjo hizo tunaozitaka tukachanjwe?

No wonder huyu bwana alisema mwendazake alikuwa busy akichapa kazi.
Na meli ya mafuta ya kula!
 
Back
Top Bottom