Katiba ya JMT 1977Waziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Acha kulinganisha mambo kama huna akiliTangu lini Viongozi wa ccm waliwahi kufuata katiba , Profesa Assad aliondolewaje , unakumbuka we masikini ?
Nothing lasts longer
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ya kujua kusoma na kuandika kama inavyotakiwa kwa wabunge wanaoutunga sheria.Wewe una elimu gani ya kubishana na mimi?
Tuwekee na 57(2)(e), mnakurupuka kujadili mambo mazito wakati hamna akili.Katiba ya JMT 1977
51.- (3) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, Waziri Mkuu atashika kiti cha Waziri Mkuu hadi- (a) siku ambapo Rais mteule ataapa kushika kiti chake; au (b) siku ambapo atafariki dunia akiwa katika madaraka; au (c) siku atakapojiuzulu; au (d) siku Rais atakapomteua Mbunge mwingine kuwa Waziri Mkuu; au (e) atakapoacha kushika kiti cha Waziri Mkuu kwa mujibu wa masharti mengineyo ya Katiba hii.
Weka wewe, acha kusumbua watu.Tuwekee na 57(2)(e), mnakurupuka kujadili mambo mazito wakati hamna akili.
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisa anateua na kuapisha upya
You know nothing. Bera shut upMnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisa anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Wewe unajua unachopost? Au unapost mradi kubisha?Mabadiriko ya Baraza la mawaziri yaliyofanywa na Rais ni sawa na kulivunja Baraza na kuliunda upya hivyo baada ya Spika wa Bunge kupatikana litapelekwa jina la mtu atakayependekezwa kuwa Waziri Mkuu ili athibitishwe na bunge!