Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
kilio chako nina hakika Mheshimiwa amekisikia na ataunda kamati maalum haraka sana itakayosimamia majibu ya kamati zote alizoziunda!!!!!
 
Na vp kuhusu ile kamati ya wale police wa Mtwara waliomua mfanyabiashara wa Madini!? Ni muda Sasa sijasikia majibu yake!!
Aliiunda Majaliwa na majibu yake hayakuwahi kuwa released mpaka leo. Kiufupi hilo swala lilishafukiwa kwasababu wanawajua watanzania ni wepesi wa kusahau
 
Mkuu taja kamati yoyote aliyounda ikaja na majibu na kuwekwa wazi.
Hujasema kamati tu, umesema mambo yake yoote!! In short maswala ya kamati watu wenye hekima wanayafanyaga siri simply because mara nyingi kamati zinaundwa kipindi cha pressure!! Watu wanahojiwa na kamati either wakiwa na hasira saaana au na furaha saana!! Hapo utapata kitu ambacho ni relevant??

Kwa mfano, kamati ya soko kuungua, wewe tumekuchagua ukawahoji watu waliounguliwa na bihashara zao (walikopa benki) unategemea watakwambia nini??

Kutana na mfanya bihashara wa kariakoo sasa muuliza unaizungumziake TRA!!

SOMETIMES TUSIPENDE KUDHARAU JITIHADA ZA VIONGOZI. UONGOZI NI KAZI NGUMU
 
Ile gap kati ya PM wa JPM na PM wa mama inazidi kujifunua taratiiibu sio mbali tutajua ni kwa nini..
 
Hujasema kamati tu, umesema mambo yake yoote!! In short maswala ya kamati watu wenye hekima wanayafanyaga siri simply because mara nyingi kamati zinaundwa kipindi cha pressure!! Watu wanahojiwa na kamati either wakiwa na hasira saaana au na furaha saana!! Hapo utapata kitu ambacho ni relevant??

Kwa mfano, kamati ya soko kuungua, wewe tumekuchagua ukawahoji watu waliounguliwa na bihashara zao (walikopa benki) unategemea watakwambia nini??

Kutana na mfanya bihashara wa kariakoo sasa muuliza unaizungumziake TRA!!

SOMETIMES TUSIPENDE KUDHARAU JITIHADA ZA VIONGOZI. UONGOZI NI KAZI NGUMU
Haha mkuu sio mimi niliyesema hivyo Bali mimi nimekuuliza baada yakuona mleta mada kataja mpaka baadhi ya kamati zilizoundwa lakini wewe ukasema zipo ambazo zimekuja na majibu, ndiposa nikakuuliza KAMA ZIPI?
Ulisemalo ni kweli lakini hizo jitihada ziwe RESULT ORIENTED na si KUSIKILIZA tu
 
Unaikumbuka kamati ya makinikia?? Report yake iko YouTube kaisikilize afu rudi hapa
 
Back
Top Bottom