Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Si kaenda kumshika mfanyabiashara mmoja wakati watu Wana hasira zaoilikuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kaenda kumshika mfanyabiashara mmoja wakati watu Wana hasira zaoilikuwaje
kilio chako nina hakika Mheshimiwa amekisikia na ataunda kamati maalum haraka sana itakayosimamia majibu ya kamati zote alizoziunda!!!!!Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Mkuu taja kamati yoyote aliyounda ikaja na majibu na kuwekwa wazi.Hii sio kweli. Kwamba kwenye mambo yake yoote hakuna hata moja?? Automatically hii ni chuki binafsi na chuki binafsi ni unconscious!!
Aliiunda Majaliwa na majibu yake hayakuwahi kuwa released mpaka leo. Kiufupi hilo swala lilishafukiwa kwasababu wanawajua watanzania ni wepesi wa kusahauNa vp kuhusu ile kamati ya wale police wa Mtwara waliomua mfanyabiashara wa Madini!? Ni muda Sasa sijasikia majibu yake!!
Mwanasiasa Majaliwa Taslim huyo.Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Hujasema kamati tu, umesema mambo yake yoote!! In short maswala ya kamati watu wenye hekima wanayafanyaga siri simply because mara nyingi kamati zinaundwa kipindi cha pressure!! Watu wanahojiwa na kamati either wakiwa na hasira saaana au na furaha saana!! Hapo utapata kitu ambacho ni relevant??Mkuu taja kamati yoyote aliyounda ikaja na majibu na kuwekwa wazi.
Haha mkuu sio mimi niliyesema hivyo Bali mimi nimekuuliza baada yakuona mleta mada kataja mpaka baadhi ya kamati zilizoundwa lakini wewe ukasema zipo ambazo zimekuja na majibu, ndiposa nikakuuliza KAMA ZIPI?Hujasema kamati tu, umesema mambo yake yoote!! In short maswala ya kamati watu wenye hekima wanayafanyaga siri simply because mara nyingi kamati zinaundwa kipindi cha pressure!! Watu wanahojiwa na kamati either wakiwa na hasira saaana au na furaha saana!! Hapo utapata kitu ambacho ni relevant??
Kwa mfano, kamati ya soko kuungua, wewe tumekuchagua ukawahoji watu waliounguliwa na bihashara zao (walikopa benki) unategemea watakwambia nini??
Kutana na mfanya bihashara wa kariakoo sasa muuliza unaizungumziake TRA!!
SOMETIMES TUSIPENDE KUDHARAU JITIHADA ZA VIONGOZI. UONGOZI NI KAZI NGUMU
Waziri wa Kamati🤣Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
View attachment 2626214
Unaikumbuka kamati ya makinikia?? Report yake iko YouTube kaisikilize afu rudi hapaHaha mkuu sio mimi niliyesema hivyo Bali mimi nimekuuliza baada yakuona mleta mada kataja mpaka baadhi ya kamati zilizoundwa lakini wewe ukasema zipo ambazo zimekuja na majibu, ndiposa nikakuuliza KAMA ZIPI?
Ulisemalo ni kweli lakini hizo jitihada ziwe RESULT ORIENTED na si KUSIKILIZA tu