Kama hivyo sawa.Atamnunulia kwa mshahara wake ambayo itakuwa na thamani zaidi ya hiyo zawadi.
Hujui unachokiandika wewe.Huyo ni mke wa Waziri wa nchi, hana sifa za nyie wanawake njaa kali! Ukiwa mkubwa lazima uchague bhana, unafikiri hao wakuu wanaoa oa tu kwa kuokoteza vitu vya ajabu ajabu kama nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
MakongoroKumbe tanzanite tu, na sio diamond! Sawa, na yule nyuma ni Dr slaa?
Women never get enough of jewellery, shoes or clothes my dear friend.Kwani inawezekana kweli mama PM hakuwa na mkufu wa dhahabu au tanzanite? Au ina maana PM hawezi kumnunulia my wife wake mkufu wa tanzanite? Ni vizuri viongozi wa wananchi wanapoepuka mitego ya wazi ya wafanyabiashara.
wadau walipiga kelele sana lakin yule Mzee alikuwa jeuriKipindi cha Mzee Mkapa, Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliwahi kupewa dhahabu na GGM! Mkapa alipewa tofali na Magufuli koreo,sasa sijui waliyapeleka wapi hawa watu
Kampeni zake za kutaka Urais 2025.
Tutawaulizaje wakati hawapo tena?Kipindi cha Mzee Mkapa, Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliwahi kupewa dhahabu na GGM! Mkapa alipewa tofali na Magufuli koreo,sasa sijui waliyapeleka wapi hawa watu
Unamjua Lucy Kibaki? Mwanamke ni mwanamkeHuyo ni mke wa Waziri wa nchi, sio kama hao vinuka mkojo akina Mwajuma mnaowaokoteza huko mitaani, huyo amelelewa, ana hela na yuko very smart. Hawezi kufanya upuuzi ambao 'mademu' wenye njaa ndio hufanya.
Amekwepa mtego mkubwa sana. Naona Majaliwa ni Smart sana upstairs!
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV