Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
2035 ni too far, hii ni awamu ya kwanza ya Mama, awamu ya pili ni 2025, hivyo 2030 there would have been a chance, tatizo ni zamu yetu!.Tunamuombea 2035 awe rais
naunga mkono hoja, sheria hiyo inaruhusu watumishi wa umma tuu, zawadi hiyo ni kwa mke wa Majaliwa, wake wa viongozi sio watumishi wa umma.Kwa ufahamu wangu mimi kwa mujibu wa sheria na kununi za utumishi wa umma, ukipewa zawadi kwaajili ya cheo chako au nafasi yako katika Serikali, Hiyo zawadi inakuwa sio yako, inatakiwa kuwasilishwa Serikalini, ni mali ya Serikali. Majaliwa amefanya kwa mujibu wa sheria na kanuni. By the way ameepuka mtego mkubwa sana ambao ungekuja kumsumbua baadaye.
watanzania pia mpo hivyo hata angeichukua napo mngesematu.Kujipendekeza ni moja ya vinasaba vya Watanzania wengi ...
ni ishu ndogo ila maadili yamembeba hasa kuhusu vijizawadi vya kupewa
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
Nakusahihisha kidogo, inachotakiwa Kama umepewa zawadi kwa xheo chako unapaswa kuiwasilisha kwa mwajiri na Kuna form unajaza kudeclare kwamba umepewa zawadi na sio hongo them ukikamilisha unaichukua hiyo Zawadi Kama yako n utaitumia hata ikiwa pesa.Kwa ufahamu wangu mimi kwa mujibu wa sheria na kununi za utumishi wa umma, ukipewa zawadi kwaajili ya cheo chako au nafasi yako katika Serikali, Hiyo zawadi inakuwa sio yako, inatakiwa kuwasilishwa Serikalini, ni mali ya Serikali. Majaliwa amefanya kwa mujibu wa sheria na kanuni. By the way ameepuka mtego mkubwa sana ambao ungekuja kumsumbua baadaye.
Ni avyojua taratibu ni kuwa zawadi yeyote anayopewa mtendaji wa umma wakati anawajibika anatakiwa aikabidhi serikali maana sio ya kwake. Kuwaruhusu wazibinafsishe ni kufungulia milango rushwa za waziwazi.
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
Ndivyo ilivyo hata sasa,Kwenye rasimu ya Warioba,kuna sehemu walisema Rais,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakipewa zawadi,zinakua Mali za Uma,na zinapelekwa Ikulu! Sasa sijui kama wajuba waliona hili suala kama linawapa shida kidogo
Sidhani kama uko sahihi. Ninavyojua kuna kiwango ambacho zawadi ikiwa chini yake unaruhusiwa kukaa nayo baada ya kutoa taarifa. Kiwango hicho ni kidogo sana. Ukiachia wazi hivi, mtu atapewa ndege kama zawadi na tutashindwa la kufanya. Watu wa zamani watakumbuka hadithi zilizoenea kuwa aliyenunua mabasi ya Ikarus alipewa kamoja kama shukrani!Nakusahihisha kidogo, inachotakiwa Kama umepewa zawadi kwa xheo chako unapaswa kuiwasilisha kwa mwajiri na Kuna form unajaza kudeclare kwamba umepewa zawadi na sio hongo them ukikamilisha unaichukua hiyo Zawadi Kama yako n utaitumia hata ikiwa pesa.
Cha msingi ni kuonyesha kwamba haujalewa sababu ya influence yeyote Ila wamekuzawadia in good faith.
Sioni sababu ya yeye PM kuirudisha although ni maamuzi yake Ila sio sawa amemkosea mkewe hiyo mkewe ndio angeamua yeye.
Hivi zawadi kama hii kiongozi anaruhusiwa kupokea?Kujipendekeza ni moja ya vinasaba vya Watanzania wengi ...
Kabisa, kama kweli wana nia njema kwanini hawampi tu mtu yeyote wanawapa viongozi tu?Sidhani kama uko sahihi. Ninavyojua kuna kiwango ambacho zawadi ikiwa chini yake unaruhusiwa kukaa nayo baada ya kutoa taarifa. Kiwango hicho ni kidogo sana. Ukiachia wazi hivi, mtu atapewa ndege kama zawadi na tutashindwa la kufanya. Watu wa zamani watakumbuka hadithi zilizoenea kuwa aliyenunua mabasi ya Ikarus alipewa kamoja kama shukrani!
Na huu mtindo wa kuwapa zawadi wake au waume wa viongozi ni yale yale. Wenye nia mbovu watapitia huko ili waku compromise. Zawadi za kuwapa viongozi ni peni ( sio Montblanc n.k.) na mke wake box la chocolate au maua. Mkufu wa Tanzanite ni too much.
Amandla...
Huyu huyu aliyetuambia Rais ni mzima na anachapa kazi zake ikulu ?!. Huku mtu keisharudisha namba !!Majaliwa for President !
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
Majaliwa for President !
Kama haijabadilishwa tangia enzi za Mwalimu Nyerere, Sheria inasema kuwa, Mtumishi wa Umma, Mke wake au Mtoto wake akipewa zawadi ambayo thamani yake inazidi Shilingi Elfu 50 (Hamsini), zawadi hiyo ni mali ya Umma.Sidhani kama uko sahihi. Ninavyojua kuna kiwango ambacho zawadi ikiwa chini yake unaruhusiwa kukaa nayo baada ya kutoa taarifa. Kiwango hicho ni kidogo sana. Ukiachia wazi hivi, mtu atapewa ndege kama zawadi na tutashindwa la kufanya. Watu wa zamani watakumbuka hadithi zilizoenea kuwa aliyenunua mabasi ya Ikarus alipewa kamoja kama shukrani!
Na huu mtindo wa kuwapa zawadi wake au waume wa viongozi ni yale yale. Wenye nia mbovu watapitia huko ili waku compromise. Zawadi za kuwapa viongozi ni peni ( sio Montblanc n.k.) na mke wake box la chocolate au maua. Mkufu wa Tanzanite ni too much.
Amandla...
Kama haijabadilishwa tangia enzi za Mwalimu Nyerere, Sheria inasema kuwa, Mtumishi wa Umma, Mke wake au Mtoto wake akipewa zawadi ambayo thamani yake inazidi Shilingi Elfu 50 (Hamsini), zawadi hiyo ni mali ya Umma.
Kitendo cha Waziri Mkuu kuipangia matumizi kinamaanisha kuwa kwanza kabisa ameipokea hiyo zawadi na sasa ameipangia matumizi.
Na huko ni kukiuka Sheria.
Au labda Sheria imebadilika.
Tunamuombea 2035 awe rais
Izo barakoa vp mbn zinavaliwa nusu nusu
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
Ukipewa zawadi ya shilingi elfu hamsini na zaidi, lazima uiwasilishe tume.Hapa kiapo cha maadili ya viongozi kimetendewa haki
Ahsante!Hujui unachokiandika wewe.
Kisirani tu kama mshahara wako nalipa mie.
Kibwengo weye.
Simfahamu, ila napinga huo msemo 'mwanamke ni mwanamke'Unamjua Lucy Kibaki? Mwanamke ni mwanamke