Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

Uende uchumi wa kati wa juu wakati unategemea kupora tozo kwa wanyonge na hiyo mikopo ya IMF ambayo unachukua tu bila kuwa na stimulus plan in place....tukisema bongolala ni vituko mnabisha. Na kwa crisis ya uchumi inayotokea duniani kutokana na athari za UVIKO ambapo shipping crisis imesababisha kupaa kwa bei za bidhaa ikiwemo vyakula, instability kwenye masoko ya hisa na mitaji, na kwa marekani tathmini iliyotolewa majuzi wanasema hiyo hali ya mdororo haionyeshi kutengemaa hivi karibuni na sasa wanahaha ku-raise debt ceiling ili wasi default kwenye loans kwa mara ya kwanza katika historia ya marekani. Halafu nchi yenye kutegemea tozo itaonyesha vipi positive economic outlook kwenye mazingira kama haya ya kuharibika kwa uchumi wa dunia........au ndo yaleyale ya rais yuko buheri wa afya anachapa kazi........​
 
Dini na maslahi makubwa ya taifa wapi na wapi?!!!

Wanaopenda hisia koko za udini huwa wana UPOGO WA FIKRA.....

#SiempreJMT
CCM ndio waliyoanzisha hayo, ukiingia kwenye media za kiisilamu watu wote wanaunga mkono Nchi kutawaliwa na Waziri mkuu na Raisi wa imani yao.

Wameacha hata kutetea Demokrasia tena
 
Hanaga jipya, anatembelea machozi ya wengi.
Anaumiza wengi kwa faida yake mwenyewe
 
Hizo siasa zinaumiza maana anatumbua watu kwa kuonea pia bila kuwasikiliza Ili kujipatia ujiko, ajifunze kusikiliza na other story na sio side moja na jambo analoamini, everyone deserve second chance
 
CCM ndio waliyoanzisha hayo, ukiingia kwenye media za kiisilamu watu wote wanaunga mkono Nchi kutawaliwa na Waziri mkuu na Raisi wa imani yao.

Wameacha hata kutetea Demokrasia tena
Hiyo ni "fallacy" na "generalization"...

Kwa kuwa hao uliowasoma ni waislam ndio wanawakilisha maono ya kila muislam muelewa wa nchi yake?!!

Akitokea mkristo/wakristo kuyaongea hayo anawakilishaje wakristo wote?!!!



#SiempreJMT
 
Ana siasa za kishamba na kilaghai. Kaulizs kwanini taa hamna, Injinia kachukua maiki ile kaongea maneno mawili tu kamkatiza. Kwanini asimuache aongee ili tujue ukweli?
Hajamfanyia hata natural justice ya kumsikiliza yeye kamtumbua ametumia mamlaka yake vibaya bana
 
Hiyo ni "fallacy" na "generalization"...

Kwa kuwa hao uliowasoma ni waislam ndio wanawakilisha maono ya kila muislam muelewa wa nchi yake?!!

Akitokea mkristo/wakristo kuyaongea hayo anawakilishaje wakristo wote?!!!



#SiempreJMT
Ingia kwenye Islamic Chatrooms,ujionee mwenyewe.
 
Si tukiwa maskani tunaambiana kwamba Mtanzania akikamatwa huko nje, kama vile Msumbiji, unatupa ndani tu kwa sababu ukimpa nafasi ya kujitetea, atafunguka hapo hadi uone hana hatia?!!

Stori za maskani zina raha bwana... we acha tu!!

Mi nadhani Braza Kassim anatumia hiyo wana-Mozambique!!!
 
Ndugu yangu Majaliwa siasa za kimagufuli hazitakusaidia, watanzania sio wajinga.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Hii team msoga na machawa yao yatasumbua sana..ni hatari kwa taifa hili mtu ameshafariki lakini bado yanachuki Naye, yanasahau na menyewe yatakufa ,mnajiona kama mmeitawala taifa hili hatari sana
 
Umestuka mapema sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…