Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Ile dalili ya mwanzo ya mfumo wa TRA kucollapse Hadi kuanza kutumia mfumo wa zamani ilikuwa ni ishara tosha kuwa Kuna watu wanacheza mchezo..kadiri siku zinavyokwenda Mambo yanaharibika...usishangae ktk figisu figisu hizi kontena kibao zimeondoka...zamani msongamano ulitokana na wingi wa makontena na bandari kuzidiwa lakini msongamano wa Sasa ni mifumo.nani anachezea?
 
Kamshtukiza nani wakati nchini sote tuliambiwa na Jenista yupo njiani kwenda bandarini! 😅😅
Politicians buana, mwenyewe PM anajitutumua aonekane mama alivyoondoka kaacha msala yeye akaupangua!

Jamaa wa TPA wanasema hata tokea enzi za mwendazake mambo hayo yalikuwepo, mkwamo hata wa siku 7.

Everyday is Saturday................................😎
 
Chadema imefikaje hapo bandarini [emoji2959][emoji2959]waharibu wengine lawama chadema huu ni upuuzi
 
Habar wadau,

Tanzania hii naipa Miezi Sita majibu Tutayapata mana Tuna viongoz ambao hawawezi kufikiria Nini wafanye na Badala yake wanasubiri waambiwe cha kufanya

Mfano suala la Bandari yetu Ya Dar tunaiona ndogo mpaka kutaka Bandar ya Bagamoyo swali ni kwamba kama Tunashinda ku control hii Ndogo io kubwa tunaitaka ya Nini?

Kiongozi anashindwa kujiuliza kuwa kama atakubal ule Mradi wa Bandar ya Bagamoyo na kufanya hii Bandari ndogo kufa ili asubiri aachiwe kubwa baada ya mkataba kuisha kuwa na yenyewe itahitaji kusimamiwa swal ni kwamba baada ya mchina kuondoka tutaweza kusimamia au ndio zitakuja zile adis za Haatuwezi kuiendesha hii Bandari tuibinafsishe Tena atae pewa Nina uhakika atakua mchina

Pia Mimi Kuna uzi nilisha Sema mkuu wa Bandar alie tolewa pale hakutolewa sababu ya wizi ila alitolewa sababu aliziwia makontena ya mama yetu fulan first Lady wa miaka io

Hii nchi ulisha kua shamba la Bibi vimesha umana Bandarin

Swal kwann tunataka kikubwa wakat kidogo tulicho nacho bado ni tatizo
 
Bagamoyo itaendeshwa na wavimba macho

Ova
 
nahisi sio ya kushukiza maana kwenye maongezi na mahojiano waziri kama sikosei au mtu wa bandari alimshukuru waziri kwa kuitikia wito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…