Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

Ile dalili ya mwanzo ya mfumo wa TRA kucollapse Hadi kuanza kutumia mfumo wa zamani ilikuwa ni ishara tosha kuwa Kuna watu wanacheza mchezo..kadiri siku zinavyokwenda Mambo yanaharibika...usishangae ktk figisu figisu hizi kontena kibao zimeondoka...zamani msongamano ulitokana na wingi wa makontena na bandari kuzidiwa lakini msongamano wa Sasa ni mifumo.nani anachezea?
 
Kweli mbuzi ana akili ... huyu atakuwa ngedere basi😀
Ndio huyu hapa

IMG-20210511-WA0022.jpg
 
Kamshtukiza nani wakati nchini sote tuliambiwa na Jenista yupo njiani kwenda bandarini! 😅😅
Politicians buana, mwenyewe PM anajitutumua aonekane mama alivyoondoka kaacha msala yeye akaupangua!

Jamaa wa TPA wanasema hata tokea enzi za mwendazake mambo hayo yalikuwepo, mkwamo hata wa siku 7.

Everyday is Saturday................................😎
 
Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.

Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja kuliomba bunge liahirishe shughuli zote ili kujadili hujuma na rushwa zinazoendelea bandarini hadi kupelekea malori kukaa kwa wiki nzima bila kupata huduma.

My take

Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.

Piga kazi Mh Majaliwa wewe ndiyo tumaini letu.
View attachment 1782258View attachment 1782259
Chadema imefikaje hapo bandarini [emoji2959][emoji2959]waharibu wengine lawama chadema huu ni upuuzi
 
Habar wadau,

Tanzania hii naipa Miezi Sita majibu Tutayapata mana Tuna viongoz ambao hawawezi kufikiria Nini wafanye na Badala yake wanasubiri waambiwe cha kufanya

Mfano suala la Bandari yetu Ya Dar tunaiona ndogo mpaka kutaka Bandar ya Bagamoyo swali ni kwamba kama Tunashinda ku control hii Ndogo io kubwa tunaitaka ya Nini?

Kiongozi anashindwa kujiuliza kuwa kama atakubal ule Mradi wa Bandar ya Bagamoyo na kufanya hii Bandari ndogo kufa ili asubiri aachiwe kubwa baada ya mkataba kuisha kuwa na yenyewe itahitaji kusimamiwa swal ni kwamba baada ya mchina kuondoka tutaweza kusimamia au ndio zitakuja zile adis za Haatuwezi kuiendesha hii Bandari tuibinafsishe Tena atae pewa Nina uhakika atakua mchina

Pia Mimi Kuna uzi nilisha Sema mkuu wa Bandar alie tolewa pale hakutolewa sababu ya wizi ila alitolewa sababu aliziwia makontena ya mama yetu fulan first Lady wa miaka io

Hii nchi ulisha kua shamba la Bibi vimesha umana Bandarin

Swal kwann tunataka kikubwa wakat kidogo tulicho nacho bado ni tatizo
 
Bagamoyo itaendeshwa na wavimba macho

Ova
 
nahisi sio ya kushukiza maana kwenye maongezi na mahojiano waziri kama sikosei au mtu wa bandari alimshukuru waziri kwa kuitikia wito
 
Back
Top Bottom