Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mwanasiasa hupata umaarufu pale anapotengeneza tatizo na kisha kulitatua mwenyeweInatia moyo kuona wanasikiliza vilio vya wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasiasa hupata umaarufu pale anapotengeneza tatizo na kisha kulitatua mwenyeweInatia moyo kuona wanasikiliza vilio vya wananchi.
Sawa mkuu.Mwanasiasa hupata umaarufu pale anapotengeneza tatizo na kisha kulitatua mwenyewe
Kaumbuka, mjinga kweli huyuHajashtukiza bwana, mbona ilisemwa Bungeni mapema kabisa kwani nani hakujua hiyo ziara
Nimecheka kuna member humu amesema mleta mada ana ashkiKaumbuka, mjinga kweli huyu
Ndio huyu hapaKweli mbuzi ana akili ... huyu atakuwa ngedere basi😀
Ashki Majinuni! Shenzi zake! Kako na stress zake kanakuja kusumbuaNimecheka kuna member humu amesema mleta mada ana ashki
Wapi Chadema wameshangilia? Wapi?Alafu huo uchezewaji wa mfumo unashangiliwa na Chadema
Chadema imefikaje hapo bandarini [emoji2959][emoji2959]waharibu wengine lawama chadema huu ni upuuziKufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.
Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja kuliomba bunge liahirishe shughuli zote ili kujadili hujuma na rushwa zinazoendelea bandarini hadi kupelekea malori kukaa kwa wiki nzima bila kupata huduma.
My take
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.
Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .
Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
Piga kazi Mh Majaliwa wewe ndiyo tumaini letu.
View attachment 1782258View attachment 1782259
Aise,kumbe wao ndiyo wanaiendesha bandari...nlikuwa sijui hiloChadema ndiyo wasaliti namba moja wa taifa hili
Mwache first lady wa wajinga.sasa tatizo ni Chadema au mipango mibovu ya wahuni ndani ya serikali? umeharibu uzi wako.kwa ujinga wako