Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Haya ni mawazo ya hovyo.
Kozi zipo nyingi, zile ambazo hazitoi ajira hata moja au rate yake ya kutoa ajira ndio zinatakiwa kufutwa kabisa. Mimi ndivyo ninavyoelewa katika hili.