Kozi zipo nyingi, zile ambazo hazitoi ajira hata moja au rate yake ya kutoa ajira ndio zinatakiwa kufutwa kabisa. Mimi ndivyo ninavyoelewa katika hili.
Leta sasa mawazo yako. Hivi mfano kufuta kozi ambayo haitoi ajira, kozi kama bachelor of Art in History, ni mawazo ya hovyo??????????Haya ni mawazo ya hovyo.
Yani anaviagiza vyuo badala ya serikali yake kutoa muongozo ni nini inataka vyuo vifanye!! Anazeeka huyuu!!?Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
View attachment 2296994
Hii kitu inatakiwa itokane na mpango mkakati wa muda mrefu na mfupi wa serikali. Kila shahada kabla ya kupitishwa lazima ieleze itafanyiwa mapitio baada ya muda gani. Mara nyingi ni kati ya miaka mitatu mpaka mitano.Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
View attachment 2296994
Kwahy kwasababu hakuna ajira basi tufute kozi.Nursing, Medicine, education, law, BBA, Accountant, civil engineer, electronics, mechanical.
Yani anaviagiza vyuo badala ya serikali yake kutoa muongozo ni nini inataka vyuo vifanye!! Anazeeka huyuu!!?
Anaende akaongee na mama kwanza wapunguze kukopa
Universities zina full autonomous kwenye masula ya nini kifundishwe na kipi kiachwe. Nafasi ya wadau ni kutoa maoni pekee.Yani anaviagiza vyuo badala ya serikali yake kutoa muongozo ni nini inataka vyuo vifanye!! Anazeeka huyuu!!?
Anaende akaongee na mama kwanza wapunguze kukopa
Serikali haitakiwi kutoa muongozo vyuo vikuu vifanye nini katika masomo wanayofundisha.
Kila level ya elimu inaongozwa na mtaala.. haijalishi chuo au kindergatten.Universities zina full autonomous kwenye masula ya nini kifundishwe na kipi kiachwe. Nafasi ya wadau ni kutoa maoni pekee.
Kabisa..Hii kitu inatakiwa itokane na mpango mkakati wa muda mrefu na mfupi wa serikali. Kila shahada kabla ya kupitishwa lazima ieleze itafanyiwa mapitio baada ya muda gani. Mara nyingi ni kati ya miaka mitatu mpaka mitano.
Kwa hiyo, nadhani Mweshimiwa Waziri Mkuu anahimiza wahusika wafanye review kulingana na taratibu.