DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Unajua Kuna Kitu Unachanganya Unachanganya kati ya Reshufle na Kuvunja kwa Baraza..Mwinyi alivunja mara mbili hio mara ya kwanza according to JK waliitwa akawaambia asante kwa kufanya kazi na nyie naomba mkaandike barua za kujiuzulu akaondoka akawaacha walivyofika huko walipokuwepo ukaja ujumbe wala msiandike barua mmefukuzwa..., na mara ya pili alivunja tena Baraza...
Kwahio hapo ni kama umejipinga umesema ni vigumu kuvunja Baraza wakati JK alivunja na issue ilikuwa hio hio Ufisadi na Lowasa had to go....
kuvunja kwa Baraza Huwa Unavunja Baraza Zima Nchi inabadki bila Serikali halafu unateua Barza Jipya..
Hii Imefanyika Mara mbili au Tatu tu kwa Tanzania..
na Si zaidi ya Hapo..
Kawaida Uzalendo si lazima Upende kitu ila unafanya Kitu kwa manufaa ya nchi..Na ndio nimekuonyesha kwamba Kujiuzulu kwa Ndugai ni uzalendo au aliona ni vigumu kupambana na watu walioshika makali ? Ofcourse alichofanya alikuwa hana kosa ila alianza kupigwa zengwe na Chawa na kwa madudu aliyokwishafanya usingeshangaa anaanzishiwa kesi za ufisadi na mwisho wa siku kupoteza vyote...., Hivyo now amefunika Kombe he might be better of than otherwise (na sio kwa mapenzi ya nchi bali necessity)
Hakuna anayependa Kuachia Ngazi ya Cheo ila Unaachia Kuepusha Matokeo ya Kibuli chako na Hiyi ndo maana ahalisi ya Uzalendo nchi kwanza Wewe Baadae