Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

Enzi za mkwere kisena alikua anajichagulia route na nauli alikua anapanga mwenyewe,jamaa na washirika wake wanastahili kuwa jela kwa sasa
Kwa nini mradi ulianzishwa kwa complications namna hii? Huu mradi aliyeuanzisha ndiye mwenye makosa. Wengi tulisema hapa kuwa wana-complicate mambo kwa sababu tu ya ufisadi. Nadhani ni enzi za mkwere hizo.
 
Excellent observation
 
Kisena aliwekwa na hayati? Uda ya Kisena na Jk ndio mradi wao, na wao ndio wakulaumiwa, nakushangaa sana.

Au unajipendekeza kwa mama ili upate teuzi by Askofu Peter Konk
 
Walifanya hivyo ili wafanikiwe kuiba mapato sasa hivi hata wale wakata tickets wanaweza kuondoka na hela kwenye ndoo na mabegi na hakuna atakayejua.
 
KAZI ilifia Kwa muuza supu rangi nyeupe IPO kwenye hii music labda ulipambana kujua rangi duniani

Uhuru kashinda duniani na Mwanya wake yawezekana ndio huyo demu na Watu weupe wanapiga marimba wapo duniani Bora Tanzania wanaume walikuwa na tatizo la rangi hatutatimia nguvu kuelewa
 
Kisena aliwekwa na hayati? Uda ya Kisena na Jk ndio mradi wao, na wao ndio wakulaumiwa, nakushangaa sana.

Au unajipendekeza kwa mama ili upate teuzi by Askofu Peter Konk
Nipate uteuzi ili iweje? Analaumiwa Magufuli Kwa sababu aliukuta mradi umewekwa vizuri ila akauharibu kwa roho mbaya zake na uzandiki wake.
 
Duh
 
Maskini hujui usemalo. Mwendokasi tangu mwanzo ulikuwa mradi uliokufa kabla ya kuanza kazi hasa ikizingatiwa kuwa akina SImon Kisena waliopoka UDA waliishauua. Magufuli amesaidia hata kufikia hapo ulipo baada ya kuwakamata na kuwasweka ndani akina Kisena. Kama hujui uliza ujuzwe badala ya kuja na mambo ya ajabu ajabu yaliyojaa ujinga na uongo.
 
Kiongozi utabangua korosho na meno semi zima lile la jeshi 🤣🤣
Unataka kusema jeshi limeshindwa kazi sio
 
Brand ya mabasi wanayotumia ni hayo mashokishoki kutoka China what do you expect? Hata kuendelea kuwa barabarani kwa baadhi ya mabasi ni kitendo cha kusifiwa.

Work shop yao wako mafundi mchundo wawili watatu. Unahamisha vipuri vya basi lilokuwa grounded ili mengine ya tembee. Siku vipuri vya kuhamisha vikiisha ndio unafanya nini? Hizi akili hata Mmanga wa hapa Imalampaka aliye ishia darasa la kwanza B anawashinda. Kisena hakuibuka kama mchicha pori. Wako watu wamelinajisi sana hili Taifa la Tanzania.
 
KAZI ilifia Kwa muuza supu rangi nyeupe IPO kwenye hii music labda ulipambana kujua rangi duniani

Uhuru kashinda duniani na Mwanya wake yawezekana ndio huyo demu na Watu weupe wanapiga marimba wapo duniani Bora Tanzania wanaume walikuwa na tatizo la rangi hatutatimia nguvu kuelewa
 
Kwa nini wasimgebadilisha mabasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…