Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

Mgombea urais wa TLP ni nani? Tuanzie hapo kwanza.
 
Namna ya kufanya siasa hakujadiliwi na raisi,waziri mkuu, msajili Wala yeyote yule. Katiba yetu (ingawa Ina mapungufu ya msingi) imeweka taratibu za kufanya, siasa wao Kama wameamua kufanya uvunjaji wa sheria kwa kutumia polisi waendelee
HAKUNA sababu ya kukutana na watu hao hao wasiokemea hata huu uvunjaji wa sheria ikiwa wao Ni wanufaika no 1.
Labda Kama Ni kuweka kumbukumbu sawa
 
Majaliwa anaweza kwenda kuwaambia kuwa ameagizwa na marehemu.
 
Wakutane ili kufanya talks of the talks! Hata kama wanaamini si right person but nikujiweka in the position of strength
 
CHADEMA, iwe ni marufuku kushiriki mkutano wowote na hawa watu waliombambikizia kesi Mbowe, mpaka watakapofuta mashtaka yao hewa.
 
Tunahitaji Amir Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanz na Mwenyekiti wa Chama kilichounda Serikali. Vinginevyo ni danganya toto.
Nazani wahudhurie tu. Kwa siku 3 wanavitu vingi vya kujadili. Lazma wawe na maazimio yenye muda maalumu wa kutekeleza.
 
Katiba ndio inayoelekeza namna gani shughuli za kisiasa zifanyike,sio waziri mkuu.

Labda wakutane kusisitiza katiba ifuatwe sio kujadili vinginevyo.
 
Wanajifanyaga wao special Sana huenda watataka wao tu wakutane naye.
Achana nao. Vyama zaidi ya 10 vitakuwepo. Kwa nini unaumia kwa kutokuwepo hivyo viwili tu ambavyo kila siku mnatuaminisha kuwa viko ICU?

Amandla...
 
Waziri Mkuu kama Majaliwa hana Mamlaka yoyote ya kisheria ya kukutana na vyama vya siasa .

Bila shaka Chadema haitahudhuria jambo hilo
Unasahau kuna wanachama 19 +1 wa Chadema ambao wakati wowote wakihitajika wanawakilisha chama chao? "Chadema " watawakilishwa tu, wapende wasipende. Kama vile wanavyowakilishwa bungeni.

Amandla...
 
Hawa wamejiweka madarakani, wewe utafanyaje? Na wale darasa la saba walinzi wa benk, wanapiga sana kama mwizi! Utafanyaje?
 
Shughuli za Kisiasa halali zilizo ainishwa kwenye Katiba limekuwa jambo la kuomba Kha!
CCM wapuuzi sana Shwain!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…