Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79

Kuna Mange Kimambi kule ohooooo😁
 
Angeenda na kusisitiza aluyosema Juzi hapo ndio JKN alikuwa kiburi......
 
Labda Sasa hivi kaanza kusikiliza wataalamu badala ya wanasiasa.

Nilikuwa nasikiliza takwimu za ‘Bloomberg News’ leo kwenye kipindi chao cha ‘surveillance. Toka‘Joe Biden’ kumu endorse ‘Kamara Harris’ awe nominated ana siku 59.

Katika hizo siku 59 ‘Kamara Harris’ na vice president nominee ‘Tim Walz’ wameongea kwenye vyombo vya habari both (TV na print media) mara saba tu.

Katika muda huo huo, Donald Trump na DJ Vince wameongea mara 70. DJ Vance peke yake ameongea 49 times.

Maana yake nini huko kwenye team ya Democrats wanaujua uwezo wa ‘Kamara Harris’ hawako tayari kumuacha afanye interview peke yake kwa mtindo wa spontaneous question.

Labda usalama nao washaona ni muda maamuzi magumu, sasa kumuacha ‘bi-tozo’ kwenda kujibu maswali huko spontaneously anaweza tengeneza matatizo makubwa zaidi bora atulie tu nyumbani
 
My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya Jeshi la Polisi?

Maana tunafahamu sote Raisi wetu ni mtu anayependa sana kusafiri.

Kama ameshaanza kumtuma msaidizi wake kwenye majukumu aliyopaswa kihudhuria.
 
I think this is a farewell trip to Majaliwa.

2025 , PM atakuwa mwingine.
 
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake mwenyewe.
 
Angeeda nako mngesema amelimbi soo lake ,yuko hapa kupambana na magaidi wa nchi ,sio mara ya kwanza kiongozi yeyote kumuwakilisha Mh Rais Samia ,acha ujinga dogo

USSR
Thubutu aende yule Binti wa Kipare mtoto wa Kimambi angemfuata New York toka Los Angeles na ingekuwa aibu ya karne.
 
Kama wewe ni mwanaume, ni yule mwenye mke ajuza
 
Aliifungua nchi naona sasa anaifunga...hehehe...
 
Mbona alishawakilishwa na Philip Mpango miaka michache iliyopita? Yaani Rais ahofie takataka hizo? Labda sio Rais wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…