Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Maziko yanahusiana vipi na sheria ya takwimu, sheria husimama kama ilivyo haifuati jua au mvua, giza au mbaramwezi, msiba au harusi, sheria ni sheria.Hata kama amedanganya, tukiweka chuki pembeni ni kweli maziko ya jiwe yanafuatiliwa sana kwa sababu sio alikuwa anapendwa, ni kwamba watu hawakutegemea atakufa, alafu kwamba alikuwa mgonjwa wa moyo hilo limeniumiza hata mimi binafsi.
Mkuu hivi unategemea kweli kabisa kwamba hao jamaa huwa wanaangalia sheria kwenye kufanya chochote? , siku ya kwanza tuu walikosea kutaja siku za Maombolezo kisheria, kimsingi ni kuangalia point of fact, katika point of law wanakosea mengi mnoo.Maziko yanahusiana vipi na sheria ya takwimu, sheria husimama kama ilivyo haifuati jua au mvua, giza au mbaramwezi, msiba au harusi, sheria ni sheria.
Tujadili kuhusu sheria ya takwimu tu.
Wamekudharau na shobo zako hizo za kilumumba lumumbaMods naomba muondoe jina Kassim Majaliwa, Mimi ninazungumzia cheo (wadhifa) si mtu.