Halafu jana kule Zanzibar wakati wa kumuaga JPM Waziri Mkuu anamlazimisha Rais Hussein Ally Mwinyi kwamba eti kwenye hotuba asisahau mambo mema aliyofanyiwa na JPM yeye mwenyewe kama Hussein Mwenyi mpaka alipofikia kuwa Rais, seriously!!!
Namshukuru Rais Hussein Mwinyi aliruka hicho kigingi kwa kutosema chochote na akatoa hotuba ya ujumla tu jinsi JPM alivyochapa kazi wakati wa maisha yake.
Kwakweli Hussein Mwinyi Angefanya kama alivyohimizwa na Waziri Mkuu angedharauliwa sana. Hata kama kulikuwa na mkono wa JPM ktk harakati za Hussein Mwinyi kuwa Rais lakini huwezi kuwa unaeleza mpaka kwenye hotuba!!!
Nafikili ni muda muafaka kwa Waziri Mkuu kuchuja kwa baadhi ya mambo, sifa nyingi kwa kiongozi haipendezi mambo mengine yanatakiwa yaachwe tu!!!