Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 243
- 358
Kwakweli Kassim katu-let down sana honestly. Eti msiba umefana sana kwenye social media, seriously!!!....kwani hiyo inasaidia nini?? Je JPM ndo atarudi kiongozi tuliempenda???imefika hatua kiongozi mkubwa sana wa nchi anajitapa kuwa msiba umefana sana kwenye social media alafu anatoa figure za kupika 🤣 🤣 🤣
FactKama Lissu. Huu msiba umemuua na kumzika kisiasa
Hizi Id za mwaka jana nyingi ni zile zilizotengenezwa na kina Polepole za kuendekeza uzalendo uchwara na kusujudia siasa chafu za jiwe. Nyingi ya hizi Id hazina uwezo mdogo sana wa kuandika kwa usahihi, na ni genge la wahalifu wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja. Mfano halisi ni Id hii.Hutaki sasa?! Na mtakoma JPM hata akiwa amekufa bado anaishi katika mioyo ya Watanzania.
#tag JPM/Magufuli-Jeeeshiii! Uko hapo!!!
Na yeye kuropoka uongo ni kosa la kisheria pia!Wewe umejuaje takwimu hizo alizotumia sio rasmi?
Kumsemea Kassim Majaliwa bila kuwa na uthibitisho wa unachokisema ni kosa kisheria
Mama D, IPO mamlaka inayotakiwa kutoa Data na siyo mtu yeyote, hizi zinazoongelewa zilitolewa kwenye Twitter na mtu binafsi.Wewe umejuaje takwimu hizo alizotumia sio rasmi?
Kumsemea Kassim Majaliwa bila kuwa na uthibitisho wa unachokisema ni kosa kisheria
Laa, wewe naye!We jamaa wewe! Umesahau alituambia raisi yupo sijui kariakoo mara magomeni kumbe mtu anaumwa
hao ni user wote worldwide kwa takwimu ya 2019.Kwani viewers 3.9 bilioni ni kubwa!
eti mzee yupo chumbani kajifungia anapitia mafaili 🤣 🤣 🤣yaani Waziri Mkuu wetu ni muongo
Hizi Id za mwaka jana nyingi ni zile zilizotengenezwa na kina Polepole za kuendekeza uzalendo uchwara na kusujudia siasa chafu za jiwe. Nyingi ya hizi Id hazina uwezo mdogo sana wa kuandika kwa usahihi, na ni genge la wahalifu wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja. Mfano halisi ni Id hii.
Huyu Mtu Ni mwongo..na uongo wake unazidi kukomaa kila siku. Anamaanisha nusu ya wachina, wahindi, wamarekani, wote waliacha kazi zao wakawa wanaangalia TV. Africa nzima waliacha kazi zao wakawa wanaangalia TV, swali je watu wote hao Wana access na TV? Ajiheshimu na sisi tumuheshimu. Aache uongo wa kicccmSheria ya takwimu iliyopitishwa hivi karibuni inakataza matumizi na kutangaza takwimu zisizo rasmi, nimemsikia Waziri Mkuu akiijulisha dunia kuwa watu bilioni 3.9 wamefuatilia msiba wa Hayati JPM. Takwimu hizo bahati mbaya siyo rasmi ila kwake zimemfurahisha kwani ni ushindi.
Huko nyuma tumewahi kushuhudia mtu akiweka takwimu zilizonona Serikali huzikubali licha kisheria ni batili, lakini MTU huyo huyo atakapotoa takwimu zilizokondeana kufuata na wakati hutafutwa akamatwe.
Je, Waziri Mkuu anapotumia takwimu zisizo rasmi ni sahihi au kosa kisheria?
Pia soma > Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli
Najua majibu ya utawala wa sheria aliyatoa Jaji Mkuu mstaafu alipomtembelea Rais ikulu ambako alilalamika kubusu vimemo vikiwaagiza kutoa hukumu ya matakwa yao!Mkuu hivi unategemea kweli kabisa kwamba hao jamaa huwa wanaangalia sheria kwenye kufanya chochote? , siku ya kwanza tuu walikosea kutaja siku za Maombolezo kisheria, kimsingi ni kuangalia point of fact, katika point of law wanakosea mengi mnoo.
Yaani habari ndio hiyo.Wivu utakuua wewe khaah!!!. Mungu wa Mbinguni anayeongea kutumia vidole vya waja wake hajawahi kushindwa na mwanadamu. Kaa ukijua ziko ID nyumbulifu na waasisi wa JF tangu kijardi cha fikira pefu.
071 ya Lisu imetepeta balaa ili apate mkate wake wa kuwatetea.Kwani wewe mwenzetu bado unamwamini huyo jamaa? Haya huyu wanayezurula naye alikwambia yuko wapi? Si alikwambia huyu ndugu yetu ni mzima wa afya na anachapa kazi kulingana na mpango wake na hawezi kuzurula kariakoo wala magomeni. Ila sasa naona anazurula kwenye hayo maeneo bila kupenda.