Unaweza ukawaza kuwa maana ya majaliwa ni uongo. Nawaza tu kutokana na yaliyopita
 
Hiyo taarifa katika webiste ni kweli ipo, lakini cha ajabu zaidi ni kwamba kwanini hapo waonyeshe mgeni rasmi ni makamu wa raisi wakati katika website yao hakuna sehemu yoyote mheshimiwa makamu wa raisi akionyeshwa ni mgeni rasmi?

Mbona hapaeleweki!
Nimeingia kwenye website ya TAWIR,taarifa ipo,ila jina la mgrni rasmi,hawajaweka.
 
Yaani huyu huyu alesema magu anachapa kazi yupo ofisini yu buheri wa afya na anatusalimia watz na kwamba rais siyo mtu wa kuzurula kariakoo? Hapa kuna kitu hakipo sawa mi ninachofahamu nikimuona Katelephone anatoa tangazo flani hasa linalohusu uwepo wa kiongozi basi huwa naanza jipanga kisaikolojia
 
Tuone kama atafungua huu Mkutano wa Tawiri au atawakilishwa.

View: https://twitter.com/TanzaniaDigest/status/1732090976682836013?t=6fWRhXY8psaWsD1gfxrWEQ&s=19
 
Inakuwaje makamu aende nje kikazi hata picha za majumu yalimpeleka huko hakuna?
 
Pm angekuwa anakumbuka hili angemuachia msemaji wa serikali. Hata shingo haijakatika ya Magufuli alisema hayahaya tena msikitini, leo tena narudia hata kama nikweli asingsema yeye hataaminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…