Kabaridi haka nkajizogeza kidogo kwa mama jitunze nipate kajoto na ka k vant kadogo....Inaonekana picha ya wahanga wa mafuriko yanayoendelea hanang kupitia televisheni..... Ghafla jamaa nyuma yangu ananiuliza hivi unahisi yupo wapi Mh.Philip Mpango maana simsikii hata anazidiwa na yule mwenezi wa chama, anaongeza.. ningekua na ka nyazifa hata ka utendaji hapa mtaani ningehakikisha navimba hata kuonekana kidogo....sijui jamaa ni binadam wa aina gani??
Jamii ya mtu kama Philip Mpango ni character ya aina gani??
Je? unadhani Mh. Philip Mpango yuko wapi isije kuwa habari sawa na za jiwe...
labda haka kawimbo kanaweza kufaa hapa.mtoto wa mbarikikwa aliweza kuimba hivi: