Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
Kabaridi haka nkajizogeza kidogo kwa mama jitunze nipate kajoto na ka k vant kadogo....Inaonekana picha ya wahanga wa mafuriko yanayoendelea hanang kupitia televisheni..... Ghafla jamaa nyuma yangu ananiuliza hivi unahisi yupo wapi Mh.Philip Mpango maana simsikii hata anazidiwa na yule mwenezi wa chama, anaongeza.. ningekua na ka nyazifa hata ka utendaji hapa mtaani ningehakikisha navimba hata kuonekana kidogo....sijui jamaa ni binadam wa aina gani??

Jamii ya mtu kama Philip Mpango ni character ya aina gani??

Je? unadhani Mh. Philip Mpango yuko wapi isije kuwa habari sawa na za jiwe...

labda haka kawimbo kanaweza kufaa hapa.mtoto wa mbarikikwa aliweza kuimba hivi:

video music. Serikali ya Tz wananchi mnatuona nyani tu. Mabinti wamefoka kama ....

Kabaridi haka nkajizogeza kidogo kwa mama jitunze nipate kajoto na ka k vant kadogo....Inaonekana picha ya wahanga wa mafuriko yanayoendelea hanang kupitia televisheni..... Ghafla jamaa nyuma yangu ananiuliza hivi unahisi yupo wapi Mh.Philip Mpango maana simsikii hata anazidiwa na yule mwenezi wa chama, anaongeza.. ningekua na ka nyazifa hata ka utendaji hapa mtaani ningehakikisha navimba hata kuonekana kidogo....sijui jamaa ni binadam wa aina gani??

Jamii ya mtu kama Philip Mpango ni character ya aina gani??

Je? unadhani Mh. Philip Mpango yuko wapi isije kuwa habari sawa na za jiwe...
Kuna baba kazi yake kuongea uwongo muda wote, juzi limedanganya tena
 
1701773601939.png
 
Kwakuwa akina Lissu hawajaanza kuhoji, tuamini ni salama!
 
Back
Top Bottom