passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Wenye akili tunajua alitoa ile taarifa ili kupunguza taharuki tu.JE TUMUAMINI ALIYEWAHI KUTUDANGANYA MWAKA 2021
Mwaka fulani katika Dola ya Rumi alitokea Kiongozi mmoja akawaongopea wananchi kuhusu hali Kiongozi fulani lakini baadae ikaja kujulikana taarifa aliyotoa haikuwa sahihi.
Kiongozi huyo katika Dola ya Rumi mwaka huu 2023 amekuja na taarifa ambayo inatiliwa shaka kutokana na kuwepo na sintofahamu fulani
Je wananchi katika Dola ya Rumi wamuamini au la!
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app