Majaliwa akiumwa nani atamsemea uongo ? AibubPM kusema uongo kila siku haoni aibuuui?
 
Huyu PM naye boya Sana. Si akae kimya, eti yupo nje kimajukumu. Very stupid.
Lakini kinacho shangaza ni hiki: Hivi hakumbuki kuwa aliwahi kusema maneno kama hayo; au anajuwa waTanzania unaweza kuwaambia lolote lile, na kusahau siku ya pili yake?

Kwa kawaida, asingejitokeza na kusema maneno kama hayo, akikumbuka aliwahi kuyasema na matokeo yake yakawa ni tofauti.

Hawa viongozi hawapimi uzito wa maneno wanayo waambia waTanzania. Sijui ni kuwadharau, au vipi?

Lakini yeye mwenyewe haoni kuwa anajichafulia rekodi yake?
 
Sawa tunapokea taarifa ya serikali kama ilivyotujia.

Hizi taarifa ni sawa na mtu akusingizie kuwa hujamaliza shule ya Form Four.

Ikiwa unauhakika kweli ulimaliza form four huna haja ya kubishana na mtu.

Unaingia ndani au Mtandaoni unaleta cheti chako tu. Unamaliza ubishi.

Viongozi wetu wakiwa Nje ya Nchi kikazi huwa tunawaona kwenye picha na video za hapa na pale wakiwa kwenye majukum yao.
Sembuse hili ambalo watu
wanasambaza habari za uzushi?

Atoke tu apige clip moja tu atafunga midomo ya wazushi na waongo.
 
Leo amewahadaa waumini wa nyumba gani ya ibada baada ya ile ya Msikiti wa Njombe 2021
 
Mwambieni akimaliza kutuongopea,akashughulikie athari za mafuriko ya tope kule Katesh.Huyu Mwamba muongo sana, Makamu wa Rais akienda nje huwa tunatangaziwa anakwenda kufanya nini na wapi?au amekwenda nje ya nchi kuhudhuria kikao cha wachawi?maana hicho ndiyo kikao pekee kinachofanyika kwa siri gizani na ili uhudhurie ni lazima upewe codes za kina MshanaJr.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
PM Majaliwa again....?!
 
Ikitokea kinyume kwa mf
 
Kwa kupunguza matumizi,ofisi ya Makamu wa Rais haikwenda na Waandishi wa Habari serikali![emoji16]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…