Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Nimekuwa nikisema mara kwa mara, upande unaotawala unaigawa nchi. Na bado nitasimama ni hoja yengu, Haki isiposimama katika nchi chuki hutamalaki. Huwezi kujenga nchi huku wananchi wamegawanywa kiasi hiki na uhasama ndio ibada yao.
mgawanyo wa taifa hauelelezwi kwa kundi la watu 50 waliokosa ubunge au ulaji serikalini.
 
Yule jamaa anavyopenda sifa kweli mpaka leo awe anachapa kazi tu? Mi nawaambia angekuwa ameshatoka hata kufanya jogging watu wamuone tu
 
Rais angetoka tu ofisini kwake kwa break ya dakika 5 tumuone ili tumalize hizi rumours. Kwani akitoka nje dakika tano tu za pumziko kutoka kazi itagharimu kiasi gani?
hapana anataka series iwe ndefu kidogo.

maana sasa hivi iko dsm.
 
Asifike Kariakoo au Magomeni...Huko ni mbali sana, atoke tu nje ya ofisi yake
 
Hata kama majaliwa alitaka kutuondolea hofu. but thatkind of lie was too much. Haya Sasa rumors has it he has passed away. How is going to stand before us? Does he have any expectations that people will believe anything coming from his mouth again?
Madam,
Just believe he is okey!
Soon you will see Him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…