mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
muendelezo wa hallucination zako.Yule ni mungu wenu kwa hiyo hawezi kuumwa
kwamba amekuwa Mungu tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muendelezo wa hallucination zako.Yule ni mungu wenu kwa hiyo hawezi kuumwa
mgawanyo wa taifa hauelelezwi kwa kundi la watu 50 waliokosa ubunge au ulaji serikalini.Nimekuwa nikisema mara kwa mara, upande unaotawala unaigawa nchi. Na bado nitasimama ni hoja yengu, Haki isiposimama katika nchi chuki hutamalaki. Huwezi kujenga nchi huku wananchi wamegawanywa kiasi hiki na uhasama ndio ibada yao.
hapana anataka series iwe ndefu kidogo.Rais angetoka tu ofisini kwake kwa break ya dakika 5 tumuone ili tumalize hizi rumours. Kwani akitoka nje dakika tano tu za pumziko kutoka kazi itagharimu kiasi gani?
Naomba niishie hapa kumbe najadiliana na mtu aliyeshiba kodi. Hutanisikia tena maana wewe matawi ya juu. Maneno ya wanaofaidi utawala dhalimu yanajulikana. Kwa heri.mgawanyo wa taifa hauelelezwi kwa kundi la watu 50 waliokosa ubunge au ulaji serikalini.
kwamba nawewe unajadili ukiwa na njaa!!!Naomba niishie hapa kumbe najadiliana na mtu aliyeshiba kodi. Hutanisikia tena maana wewe matawi ya juu. Maneno ya wanaofaidi utawala dhalimu yanajulikana. Kwa heri.
[emoji1][emoji1]Yakitokea yakutokea huyu Kasim atawaambia nini watu
Asifike Kariakoo au Magomeni...Huko ni mbali sana, atoke tu nje ya ofisi yakeWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea nae kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli?. Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara anafanya kazi zake kama kawaida za ofisini
Tuhakikishe tunamuabudu Mungu, tunamuomba Mungu katika kila jambo, tunamtegemea Mungu katika kila jambo, hata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.
Naomba nirudie, kwa salam alizotupa leo kweli wana Njombe, mheshimiwa Rais anawasalimia sana wana Njombe, mheshimiwa Rais anawashukuru wana Njombe.
Jana nimeona comment mtu anasema aingie insta live😂😂Asifike Kariakoo au Magomeni...Huko ni mbali sana, atoke tu nje ya ofisi yake
Kassim anajua kuliko nyinyi mnavyomjua huyo mtu.Yakitokea yakutokea huyu Kasim atawaambia nini watu
Ulikuwa unamuelewa eenh..! Sio kila mpole ana ukweli.Duuh Kassimu nawe umefikia hatua hii?
Ngoja tuoneYakitokea yakutokea huyu Kasim atawaambia nini watu
Debe kutika shangazi kasemaulikuwa unamuelewa eenh..! sio kila mpole ana ukweli.
Madam,Hata kama majaliwa alitaka kutuondolea hofu. but thatkind of lie was too much. Haya Sasa rumors has it he has passed away. How is going to stand before us? Does he have any expectations that people will believe anything coming from his mouth again?
How long that soon will takeMadam,
Just believe he is okey!
Soon you will see Him
Hapendi show off kama alikibasema rais wetu mjanja hataki kuonekana ametulia tulii anawachora tuu